John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Je, Kama amebambikiwa Kesi utajuaje??Daaah! Huyu hapaswi kuwa mtumishi wa umma kwa hiki kitendo, ngoja tuwaachie wenye mamlaka wafanye kazi yao.
Tusimhukumu kabla ya kumsikiliza huyo Meneja wa TRA, huenda amebambikiwa hayo meno ya tembo ili kumkomoa Kama yule aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Bw. Yahaya Nawanda.