Meneja wa TRA Kibondo akamatwa na meno ya tembo

Daaah! Huyu hapaswi kuwa mtumishi wa umma kwa hiki kitendo, ngoja tuwaachie wenye mamlaka wafanye kazi yao.
Je, Kama amebambikiwa Kesi utajuaje??
Tusimhukumu kabla ya kumsikiliza huyo Meneja wa TRA, huenda amebambikiwa hayo meno ya tembo ili kumkomoa Kama yule aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Bw. Yahaya Nawanda.
 
Sikatai maneno yako kwa hii nchi ilivyo hata hilo linawezekana kufanyika pia, ndio mana nikasema ngoja wenye mamlaka kwa maana ya mahakama na watu wa upelelezi wafanye kazi yao, uwezekano wa kuangushiwa jumba bovu pia yawezekana ikawepo siwezi kupingana na wewe kwenye hili.
 
#HABARI Meneja wa TRA wilayani Kibondo mkoani Kigoma Irving Mutegeki, anashikiliwa na Jeshi la polisi wilayani Kakonko mkoani humo kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo.

Taarifa zimeeleza kuwa Mutegeki amekamatwa na nyara hizo usiku wa kuamkia leo Julai 2, 2024 akiwa kwenye gari binafsi na anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.

#EastAfricaTV
 
Attachments

  • Screenshot_20240702_223630_Facebook.jpg
    Screenshot_20240702_223630_Facebook.jpg
    122.3 KB · Views: 4
#HABARI Meneja wa TRA wilayani Kibondo mkoani Kigoma Irving Mutegeki, anashikiliwa na Jeshi la polisi wilayani Kakonko mkoani humo kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo.

Taarifa zimeeleza kuwa Mutegeki amekamatwa na nyara hizo usiku wa kuamkia leo Julai 2, 2024 akiwa kwenye gari binafsi na anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.

#EastAfricaTV
Hapo anatamni siku irudi nyuma ila wapi ndio kimeshanukaa..!
 
#HABARI Meneja wa TRA wilayani Kibondo mkoani Kigoma Irving Mutegeki, anashikiliwa na Jeshi la polisi wilayani Kakonko mkoani humo kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo.

Taarifa zimeeleza kuwa Mutegeki amekamatwa na nyara hizo usiku wa kuamkia leo Julai 2, 2024 akiwa kwenye gari binafsi na anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.

#EastAfricaTV
Isiwe kachomekewa na wahuni!
 
Dah!! Kweli pesa haitoshi.....hiyo ngozi yake tu anaonekana hana shida za rejareja.
Duh,na mshahara mnono wa tra,bado hatosheki
Usiwaamini Polisi wa Tanzania.

Hata Afande Suleiman Kova aliwahi kumtangaza Jerry Muro kuwa ni jambazi mkubwa sana ktk miji wa Dsm.
 
Madini
Mikopo
Biashara
Posho
Mishahara
Miradi
Mirathi

mwachie tembo meno yake
Dogo, unahesabu mirathi sehemu ya mali zako?
Tembo ni mnyama kama wanyama wengine tu. Mbona mnachinja ng'ombe kila siku. Akifa na hayo meno yake anapata faida gani?
 
Jeshi la Polisi Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma linamshikilia Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Wilayani humo Irving Mutegeki kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo.

Mutegeki Bagasheki amekamatwa na nyara hizo za Serikali Wilaya ya Kibondo Julai 2, 2024 akiwa kwenye gari binafsi majira ya usiku na anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.

Meneja huyo wa TRA anadaiwa amekuwa akifanya biashara ya meno ya Tembo kutoka Wilaya ya Kibondo na Kakonko kwenda mikoa mbalimbali nchini na nje ya nchi ikiwemo Burundi.
Tusiwe wepesi kuhukumu dunia inaenda kasi sana binaadamu wana mambo mengi sana tuache vyombo vya uchunguzi na mahakama vifanye kazi zake
 
Kwani hakuwa na vijana wa kazi Hadi aende mwenyewe fronti ?
Biashara Haramu siku zote watu wa umma wanajificha migongoni mwa vishoka wa kazi.
Tatizo lake hizo biashara watu hawaaminiani na ni za kuchamana hasa ukiwa bahiri na zulumati.
 
Back
Top Bottom