Meneja wa TRA Kibondo akamatwa na meno ya tembo

Meneja wa TRA Kibondo akamatwa na meno ya tembo

Jamaa wakiamua kumlinda watamlinda wakitaka, ila wakiamua kumtoa sadaka pia wanaweza.

Kama kina Bashe waliotupiga zaidi ya huyo bado wako salama mpaka leo, huyo mjasiriamali nae anaweza kupona akiwa na connection.

Lakini kama hana connection, ndio "sheria itachukua mkondo wake".
Angekuwa mwanasiasa angepona
 
Tatizo ni hapa mshahara kakopea wote , kajenga na kununua magari ya kifahari anaishi kwa kutegemea posho za safari na vikao , kwa sasa matumizi yamebanwa sana baadhi ya posho serikali inataka kupunguza .

Lazima apige dili ale pesa ..
 
Aachwe huru tu, anatekeleza ilani ya Chama. Kwani waliotafuna mahela ktk halmashauri mbali mbali kwa mujibu wa ripoti ya CAG wamechukuliwa hatua gani?.
 
mrangi mbona unacheka? Wazee wajanja walishaacha hiyo biashara ndio maana tembo siku hizi Ni wengi mpaka wanavamiwa vijiji.
Nacheka maana nnavyoijua hii biashara kufanya hutakiwi kukurupuka jamaa anavyoonekana aliingia kwa kukurupuka,utafikiri anapeleka ndizi sokoni 😄
Meneja wa tra wa mkoa aibuuu sana,jamaa anaonekana alikuwa mtu wa rushwa na magendo sasa kaamua kuingia kwenye biashara ya wenyewe wanaita ya mihogo(pembe za ndovu)
😄

Ova
 
TRA maokoto ya kawaida sana,, ishu ni chocho la kula pesa haramu kama wale wazee wa bandari tu ,labda wale wa vyeo vya juu maokoto yana maajabu kidogo, ila huku kwa wakina ofisa ni kawaida sema njia za kula nje ya mshahara ndo nyingi
Huyu ni manager... ana marupurupu kibao.. tena hizi wilaya zilizopo mipakani tra wanakuwaga poa sana
 
Kwanza kabisa kakosea kutumia huo usafiri na yeye akiwemo humo.

Mbili aina ya uwekaji wa hizo vitu kakosea huwa kuna namna ya kufanya.. yeye kaweka kama viazi mbatata, magimbi au ndizi katoka kununua sokoni.

Cha mwisho ni hana AKILI na ni mjinga , mpumbavu pia. Huwezi ukawa na Cheo hicho TRA alafu ukafanya mambo ya kipuuzi kama hayo. Huyu walitakiwa wampige risasi hata ya mguu kwanza kumpa ulemavu.
 
Sitaki kuamini kua wenye pesa hua wanafungwa kwenye utawala wa CHURA. Ngoja nione.

KAZI ni kipimo cha UTU
Huyu atatoka,hiyo kesi atatumia pesa sana hata kuuza mali zake kama anazo,sema ajira ndiyo bye bye

Ova
 
Kwanza kabisa kakosea kutumia huo usafiri na yeye akiwemo humo.

Mbili aina ya uwekaji wa hizo vitu kakosea huwa kuna namna ya kufanya.. yeye kaweka kama viazi mbatata, magimbi au ndizi katoka kununua sokoni.

Cha mwisho ni hana AKILI na ni mjinga , mpumbavu pia. Huwezi ukawa na Cheo hicho TRA alafu ukafanya mambo ya kipuuzi kama hayo. Huyu walitakiwa wampige risasi hata ya mguu kwanza kumpa ulemavu.
Jamaa ni mpuuz sana
Mihogo haibebwi hivyo
Na yeye na hadhi yake hakutakiwa kushiriki kabisa

Ova
 
Nacheka maana nnavyoijua hii biashara kufanya hutakiwi kukurupuka jamaa anavyoonekana aliingia kwa kukurupuka,utafikiri anapeleka ndizi sokoni 😄
Meneja wa tra wa mkoa aibuuu sana,jamaa anaonekana alikuwa mtu wa rushwa na magendo sasa kaamua kuingia kwenye biashara ya wenyewe wanaita ya mihogo(pembe za ndovu)
😄

Ova
Katika mikoa ambayo bado ina fursa nyingi kwa mtu mwenye mtaji wake wa kutosha basi ni kigoma na katavi... angejilimia zake tu au angenunua hata fuso yake abebee watu maharage..
Kigoma karibia nusu ya bajaji zote ni za watumishi..
 
[emoji81][emoji81]njaaa noma..manager kabsa unakosa chambo wa kufanya io kazi hizi ni tamaaa
 
Jamaa ni mpuuz sana
Mihogo haibebwi hivyo
Na yeye na hadhi yake hakutakiwa kushiriki kabisa

Ova
Hizo plate numbers pia😅 usikute walikuwa wanatfuta kitu kingine kbs.. ila walivyoyaona hayo manamba mengi ikabidi waingie deep..

Imenikumbusha siku moja nimetoka shamba/site nikasahau SIME kwenye gari, zikapita kama siku 3 nikaw niko Posta, hiyo siku sina hili wala lile gari ikawa imezungukwa na polisi kama vile mm ni Jambazi (Enzi za kuzuia Tinted kali) basi nikawaacha wafanye search..

Aisee wakakutana na Sime ikabidi wanipige pingu, wakaendelea kufumua mpk chini ya kapeti.. engine compartment yote chungulia mpk na tochi hawakukuta kitu kingine..

Ikabid wanihoji pale nikawaelezea ABC wakamiachia ila kwa mbinde sana..

Sasa imagine ndio umebeba labda bange hata grams mbili tu za kuvutia beach alafu msala unatokea kama hivyo wao watakutangaza kama MSAFIRISHAJI WA MADAWA YA KULEVYA.
 
Back
Top Bottom