Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni ukoo wa waarabu wa Mabamba ambao wamesalia lakini Sharrif Mohamed tangu alipotimkia Bujumbura hakuwahi kurudi Mabamba. Sina hakika kama bado yu hai.Ni kaka wa mchambuzi. Alirudi Mabamba, now ni mwanachama mtiifu wa chama tawala. Ana tenda za barabara na kukodisha mbasi ya kubeba wakimbizi.
Kama sio karibu na hifadhi basi ni mipakani, kama Bakhresa alivyotega pale mpakani Mkulazi ...huko huko Mabamba kama sio Tamim.Asas na Huwel wamekaa karibu na ruaha national park

Mshahara wa Employee wa T.R.A unategemeana na mapato ya eneo husika au unapangwa na mwajiri wake ambaye ni serikali kuu?Sasa huko kibondo kuna mapato gani hadi dili likubali?
Na gepu la kuiba likiwepo iba tu, nani anapenda kuwa masikini. Ila kwa dili haramu hapana kwa kweli siwashauriNi njaa gu inakufanya uamini ukiwa mfanyakazi utakuwa mwadilifu ila ukweli ni kwqmba kila Mtanzania anaajiriwa kwa lengo la kuiba
Kyoma, nshomile,
Jeshi la Polisi Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma linamshikilia Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Wilayani humo Irving Mutegeki kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo.
Mutegeki Bagasheki amekamatwa na nyara hizo za Serikali Wilaya ya Kibondo Julai 2, 2024 akiwa kwenye gari binafsi majira ya usiku na anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.
Meneja huyo wa TRA anadaiwa amekuwa akifanya biashara ya meno ya Tembo kutoka Wilaya ya Kibondo na Kakonko kwenda mikoa mbalimbali nchini na nje ya nchi ikiwemo Burundi.

Anaonekana jambazi kabisaHehe , halafu umkute ndiyo anahusika na faili yako ya kodi.
Mwingine huyu hapa 👇👇
Jeshi la Polisi Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma linamshikilia Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Wilayani humo Irving Mutegeki kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo.
Mutegeki Bagasheki amekamatwa na nyara hizo za Serikali Wilaya ya Kibondo Julai 2, 2024 akiwa kwenye gari binafsi majira ya usiku na anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.
Meneja huyo wa TRA anadaiwa amekuwa akifanya biashara ya meno ya Tembo kutoka Wilaya ya Kibondo na Kakonko kwenda mikoa mbalimbali nchini na nje ya nchi ikiwemo Burundi.
Hata Mo, Bakhresa hawana njaa lakini wanazidi kuzisaka pesa. Njaa ya pesa anayo kila mtu.Utajiri ni kuanzia shilingi ngapi chief? Huyo hana njaa yoyote
Warudishie cheti chao mkuu...The bigger the risk, the higher the return
Akina nani kaka mkubwa!Warudishie cheti chao mkuu...
Daah nimechanganya aisee pana mtu nilikua namjibu nikashangaa imekuja kwako mzee wa Idimi vip lakini shwari huko umenikumbusha mbali sana hapo Idimi kiwanjani lilipo kanisa tulikua tunacheza mpira nikiwa nasoma sehemu ingine huku nipo na wewe nikakujibu wewe ngoja nipande huko juu..Akina nani kaka mkubwa!
Nakuelewa SANA. Kama kweli kafanya ni sawa kimkute cha kumkuta lkn kama unavyoisema kuna hicho kitu. Kuna jamaa yangu miaka ya 47 huko huko mipakani aliponea TUNDU la SINDANO maana kulikuwa na Demu mkali hapo mahali kwa maokoto yake (Customs by then) akamchukua kumbe kulikuwa na mzito mmoja alikuwa naye anafukuzia. Jamaa alitegeshewa kitu kizito, akaokolewa na House girl kabila moja kwa kumtonya kwa kilugha kwamba kategeshewa.Wazaramo wanasema usilonge ukamala, i.e. usiongee ukamaliza kila kitu. Unaweza kuta huyu meneja kazuia deal za watu pale TRA Kibondo, wakaamua wale naye sahani moja kwa kumpakazia meno ya tembo. Hii wilaya ipo mpakani mwa Burundi na Tanzania (just 30 kilometres kutoka Kibondo mjini mpaka Mukarazi mpakani mwa Burundi na Tz) Hakuna linaloshindikana hapa duniani, hasa kama unaingilia deals za watu.