Meneja wa TRA Kigoma asimamishwa kazi

Meneja wa TRA Kigoma asimamishwa kazi

Duru zinatabanaisha meneja TRA Mkoa wa Kigoma aliyefukuzwa na Kidata walikuwa hawaivi tokea kipindi cha JPM
Mkuu sinilikuomba usubiri kwanza baada ya siku mbili ndo uweke hadharani hii habari? Unaniweka kwenye mazingira hatarishi na magumu sana kitengoni. Siku nyingine sitakutonya tena intelligence information nazozifumania jikoni.
 
uonevu upo sana ....kama huyo mkubwa ameweza kuonewa sasa jiulize wale walio chini wanaonewa kiasi gani na hakuna wakuwa tetea wala hawasikiki.

uonevu...baadhi ya viongozi wanawaonea sana walio chini yao hivyo ni vyema viongozi wakuu wakatupia macho kwa wale walio chini kwani uonevu huko ndiko umetamalaki na hakuna wa kuwasemea wala kuwatetea.
 
Duru zinatabanaisha meneja TRA Mkoa wa Kigoma aliyefukuzwa na Kidata walikuwa hawaivi tokea kipindi cha JPM.

Inasemekana taarifa za siri zilizopenyezwa Magogoni kumhusu bwana Kidata na zilizopelekea kufutwa ubalozi na kuvuliwa hadhi ya ubalozi mmoja wa wanyetishaji alikuwa huyo muhanga aliyefukuzwa kule Kigoma.

Ni wazi bwana Kidata kwa sababu za chuki binafsi na kutaka kumkomoa ilikuwa lazima amfute kazi!
 
Mi nilijua ukiwa serikalini ndio kuna security bora ya kazi na maisha,kumbe napo kuna kufukuzana kazi kwa chuki kirahirahisi ivi
 
Duru zinatabanaisha meneja TRA Mkoa wa Kigoma aliyefukuzwa na Kidata walikuwa hawaivi tokea kipindi cha JPM.

Inasemekana taarifa za siri zilizopenyezwa Magogoni kumhusu bwana Kidata na zilizopelekea kufutwa ubalozi na kuvuliwa hadhi ya ubalozi mmoja wa wanyetishaji alikuwa huyo muhanga aliyefukuzwa kule Kigoma.

Ni wazi bwana Kidata kwa sababu za chuki binafsi na kutaka kumkomoa ilikuwa lazima amfute kazi!
Kwanini usiripoti kwavyombo husika ? Peleka taarifa hizi polisi muhusika akamatwe
 
Duru zinatabanaisha meneja TRA Mkoa wa Kigoma aliyefukuzwa na Kidata walikuwa hawaivi tokea kipindi cha JPM...
Habari nusu nusu zenye kashfa ndani yake bila kuandika habari za upande wa pili si sahihi wala hazizingatii haki. Hazitakiwi kuwekwa hadharani. Inaonekana zina nia ya kutetea upande mmoja. Huyo Afisa wa Kigoma alifichua siri zipi kwa JPM zilizomfukuzisha kazi ya Ubalozi Kidata kisha akateuliwa na JPM huyo huyo kuwa RAS aliporudi Tanzania!

Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
 
Duru zinatabanaisha meneja TRA Mkoa wa Kigoma aliyefukuzwa na Kidata walikuwa hawaivi tokea kipindi cha JPM...
Kidata ni jamaa mwenye visasi sana Toka akiwa KM-Ardhi na Baadae KM-Ikulu kuna mtu mmoja alimkomalia kumfukuza kazi hadi akafanikiwa sema Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi ilimrudisha so kama kuna sehemu waliingiliana wala simshangai.
 
Duru zinatabanaisha meneja TRA Mkoa wa Kigoma aliyefukuzwa na Kidata walikuwa hawaivi tokea kipindi cha JPM.

Inasemekana taarifa za siri zilizopenyezwa Magogoni kumhusu bwana Kidata na zilizopelekea kufutwa ubalozi na kuvuliwa hadhi ya ubalozi mmoja wa wanyetishaji alikuwa huyo muhanga aliyefukuzwa kule Kigoma.

Ni wazi bwana Kidata kwa sababu za chuki binafsi na kutaka kumkomoa ilikuwa lazima amfute kazi!
Hvi kidata alifukuzwaga kwa nini??maana alivuliwa hadi ubalozi
 
Duru zinatabanaisha meneja TRA Mkoa wa Kigoma aliyefukuzwa na Kidata walikuwa hawaivi tokea kipindi cha JPM...
Acheni uongo wa mchana.

Hujatoa utetezi wenye mashiko kwa mada yako.

Mtu yuko Kigoma sasa atamjuaje mtu aliye ubalozini Canada.

Yaliyotokea ya Canada tuna tetesi zake, na zinamhusu JPM mwenyewe.

Usipotoa utetezi wa kutosha basi nawe una masahi binafsi.
 
Meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi hadi millioni 300 kwa mwezi...
kama Yu kama sabaya hapanaa,hapanaa,mbambikizaji wa Nini !
 
Meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi hadi millioni 300 kwa mwezi....
mnajuana, msitushirikishe ugomvi wenu. mlipokuwa mnakula pesa mlitushirikisha?
 
Kupandisha mapato kuendane na kuzingatia sheria na haki za mlipa kodi. Kukusanya kodi isiwe chanzo cha kuvuruga utaratibu wa kisheria

Unaweza ukaenjoy kukusanya mapato kwa miezi michache halafu baadaye hali ikawa tete.
si unajua unaweza kupandisha mapato, ukakamua weee wananchi, halafu vilevile ukawa unaiba kwa mkono mwingine. wamchunguze zaidi huyo.
 
Meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi hadi millioni 300 kwa mwezi...
Hii kesi yake huwezi linganisha na jambazi la mwenda zake Sabaya!
 
Meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi hadi millioni 300 kwa mwezi!..
Nadhani maswala ya ndani ya taasisi bilashaka hayafanyiwi mtandaoni naona kila mtu na analake mara kapandisha mara ugomvi hakuna anayejua kama ni kweli na kama ndiyo sababu gani hasa.
 
Ni wazi kwamba meneja wa mamlaka ya mapato mkoa wa kigoma aliyefukuzwa na kamishina wa mamlaka ya mapato tanzano tanzania ALPHAYO KIDATA walikuwa hawaekewani tokea kipindi cha JPM. hilo ndoo limepelekea kufutwa kazi na sijambo jingine ! Meneja amefanya kazi kubwa mkoa wa kigoma amebana myanya yote ya ukwepaji kodi lakini cha ajabu aneonekana ni mfanyakazi ambaye hafai katika mkoa huo.

Hata hivyo inasemekana kwamba taarifa zilizopo ni kwamba meneja huyo ndiye aliyesababisha Alphayo Kidata kufutwa ubalozi na kuvuliwa hadhi ya ubalozi . Kutokana na hilo kidata aliweka kinyongo moyoni mwake ndiyo maana meneja huyo yamemkuta mambo ambayo hakutarajia.kutokana na hilo.

Ni wazi Alphayo Kidata kwa sababu za chuki zake binafsi na kutaka kumkomoa ilikuwa lazima amfute kazi meneja huyo.

Chuki ni mbaya sana katika utendaji kazi. Kidata jipime kama unafaa kuendelea kukaa katika nafasi hiyo.
 
Back
Top Bottom