Ni wazi kwamba meneja wa mamlaka ya mapato mkoa wa kigoma aliyefukuzwa na kamishina wa mamlaka ya mapato tanzano tanzania ALPHAYO KIDATA walikuwa hawaekewani tokea kipindi cha JPM. hilo ndoo limepelekea kufutwa kazi na sijambo jingine ! Meneja amefanya kazi kubwa mkoa wa kigoma amebana myanya yote ya ukwepaji kodi lakini cha ajabu aneonekana ni mfanyakazi ambaye hafai katika mkoa huo.
Hata hivyo inasemekana kwamba taarifa zilizopo ni kwamba meneja huyo ndiye aliyesababisha Alphayo Kidata kufutwa ubalozi na kuvuliwa hadhi ya ubalozi . Kutokana na hilo kidata aliweka kinyongo moyoni mwake ndiyo maana meneja huyo yamemkuta mambo ambayo hakutarajia.kutokana na hilo.
Ni wazi Alphayo Kidata kwa sababu za chuki zake binafsi na kutaka kumkomoa ilikuwa lazima amfute kazi meneja huyo.
Chuki ni mbaya sana katika utendaji kazi. Kidata jipime kama unafaa kuendelea kukaa katika nafasi hiyo.