Mkuu sinilikuomba usubiri kwanza baada ya siku mbili ndo uweke hadharani hii habari? Unaniweka kwenye mazingira hatarishi na magumu sana kitengoni. Siku nyingine sitakutonya tena intelligence information nazozifumania jikoni.Duru zinatabanaisha meneja TRA Mkoa wa Kigoma aliyefukuzwa na Kidata walikuwa hawaivi tokea kipindi cha JPM
Kwanini usiripoti kwavyombo husika ? Peleka taarifa hizi polisi muhusika akamatweDuru zinatabanaisha meneja TRA Mkoa wa Kigoma aliyefukuzwa na Kidata walikuwa hawaivi tokea kipindi cha JPM.
Inasemekana taarifa za siri zilizopenyezwa Magogoni kumhusu bwana Kidata na zilizopelekea kufutwa ubalozi na kuvuliwa hadhi ya ubalozi mmoja wa wanyetishaji alikuwa huyo muhanga aliyefukuzwa kule Kigoma.
Ni wazi bwana Kidata kwa sababu za chuki binafsi na kutaka kumkomoa ilikuwa lazima amfute kazi!
Habari nusu nusu zenye kashfa ndani yake bila kuandika habari za upande wa pili si sahihi wala hazizingatii haki. Hazitakiwi kuwekwa hadharani. Inaonekana zina nia ya kutetea upande mmoja. Huyo Afisa wa Kigoma alifichua siri zipi kwa JPM zilizomfukuzisha kazi ya Ubalozi Kidata kisha akateuliwa na JPM huyo huyo kuwa RAS aliporudi Tanzania!Duru zinatabanaisha meneja TRA Mkoa wa Kigoma aliyefukuzwa na Kidata walikuwa hawaivi tokea kipindi cha JPM...
Kidata ni jamaa mwenye visasi sana Toka akiwa KM-Ardhi na Baadae KM-Ikulu kuna mtu mmoja alimkomalia kumfukuza kazi hadi akafanikiwa sema Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi ilimrudisha so kama kuna sehemu waliingiliana wala simshangai.Duru zinatabanaisha meneja TRA Mkoa wa Kigoma aliyefukuzwa na Kidata walikuwa hawaivi tokea kipindi cha JPM...
Hvi kidata alifukuzwaga kwa nini??maana alivuliwa hadi ubaloziDuru zinatabanaisha meneja TRA Mkoa wa Kigoma aliyefukuzwa na Kidata walikuwa hawaivi tokea kipindi cha JPM.
Inasemekana taarifa za siri zilizopenyezwa Magogoni kumhusu bwana Kidata na zilizopelekea kufutwa ubalozi na kuvuliwa hadhi ya ubalozi mmoja wa wanyetishaji alikuwa huyo muhanga aliyefukuzwa kule Kigoma.
Ni wazi bwana Kidata kwa sababu za chuki binafsi na kutaka kumkomoa ilikuwa lazima amfute kazi!
Acheni uongo wa mchana.Duru zinatabanaisha meneja TRA Mkoa wa Kigoma aliyefukuzwa na Kidata walikuwa hawaivi tokea kipindi cha JPM...
kama Yu kama sabaya hapanaa,hapanaa,mbambikizaji wa Nini !Meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi hadi millioni 300 kwa mwezi...
kama yeye alinyoa wenzake, atulie na yeye anyolewe. hangaika na furushi lako.Duru zinatabanaisha meneja TRA Mkoa wa Kigoma aliyefukuzwa na Kidata walikuwa hawaivi tokea kipindi cha JPM...
mnajuana, msitushirikishe ugomvi wenu. mlipokuwa mnakula pesa mlitushirikisha?Meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi hadi millioni 300 kwa mwezi....
si unajua unaweza kupandisha mapato, ukakamua weee wananchi, halafu vilevile ukawa unaiba kwa mkono mwingine. wamchunguze zaidi huyo.Kupandisha mapato kuendane na kuzingatia sheria na haki za mlipa kodi. Kukusanya kodi isiwe chanzo cha kuvuruga utaratibu wa kisheria
Unaweza ukaenjoy kukusanya mapato kwa miezi michache halafu baadaye hali ikawa tete.
Hii kesi yake huwezi linganisha na jambazi la mwenda zake Sabaya!Meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi hadi millioni 300 kwa mwezi...
Nyie aliowaibia na kuwabaka hamjitokezi mahakamani ndiyo maana anashinda.Hii kesi yake huwezi linganisha na jambazi la mwenda zake Sabaya!
Nadhani maswala ya ndani ya taasisi bilashaka hayafanyiwi mtandaoni naona kila mtu na analake mara kapandisha mara ugomvi hakuna anayejua kama ni kweli na kama ndiyo sababu gani hasa.Meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi hadi millioni 300 kwa mwezi!..
Unaongea nini wewe? Always hoja zako ni za kipuuzi utadhani unaowaandikia humu ni kundi la wajinga?Aliyefanyiwa unyang'anyi mbona haendi mahakamani?