Meneja wa TRA Kigoma asimamishwa kazi

Ingependeza kama kungekuwa ungejua na sababu upande wa pili ili stori iwe balance. Maana unasema kafukuzwa kazi kuna taratibu kubwa serikalini kufukuzwa kazi inamaana utumishi na mabaraza ya usuluhishi wote hao wameona ni sawa? tusishutumu tu kwa kusema visasi bila kujua ukweli wenyewe inashangaza kama ingekuwa kumfukuza kazi tokea enzi za JPM siangeshamfukuza kazi wakati huo huo kwa nini aje angojee leo?
 
Natumaini hizo duru pia zilikufahamisha kwamba baadaye JPM alijuta sana kumuadhibu na kumdhalilisha ndugu yake Kidata kwa kuamini maneno ya umbea. Akaamua “kumlazimishia” jamaa uRAS wa Mtwara kama “atonement”.

Tatizo la Magufuli aliendekeza sana watu incompetent lakini wanaompelekea taarifa za watu “wanaomsema vibaya”. Mtu anachukua kipande cha clip ya maongezi na marafiki na kukiwahisha kwa bosi ili kupata ujiko. Bosi naye alivyo zuzu badala ya kudai clip nzima anareact kishamba. Siku akipewa kitu kamili anakuwa mdogo kama piriton. Hiyo breed ni undesirable kwenye uongozi wa taifa.
 
Ndiyo sababu ya Kidata kumsimamisha kazi huyo meneja aliyepandisha mapato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…