Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Kweli WAHACHE kukariri maHisha kabisaina weza endelea kuwepo na ikawa kama tbc fm... kila mtume na zama zake... kama efm imekuja kwa speed kali hivi... kuna mtu aliwahi fikiria kuwa kuna mshindani atakuja kutokea wa namna hii...? hacheni kukariri maisha.... kampuni huwa zina firisika pia hakuna kinacho weza kuishi milele...
Mbona husemi wcb hawako sawa na eatv/radio na efm na tve?Ukiona kila mtu anakulalamikia ujue unatatizo.. hao clouds wajiangalie kwanini kila siku ni wao tu ndio wanagombana na wasani
Hili nalo ni nenoYaani salaaa ndio mwenye pesa,au WCB pumbavu Mimi navyojua WCB inatumiwa na Bashite tu hamna zaidi ya hapo.
Efm ni wivu wa mapenzi ndio umeleta huo mfalakano.. Ila eatv/radio niwe mkweli sijui nini chanzo.. Nimewasema hao akina ruge maana ni kesi nyingi sana tumesikia wasani wakilalamika juu yao toka enzi za akina suguMbona husemi wcb hawako sawa na eatv/radio na efm na tve?
Viwanda vyetu Watanzania ndio Hivi.View attachment 692180
watu wanasubiri
Mkuu haya mambo hayana masiara, ukiyaona lazima uchanganyikiwe kabisa.....mkuu unapenda mifereji ya maji machafu..
ila omba usije kutana na asiye oga vizuri utawachukiaMkuu haya mambo hayana masiara, ukiyaona lazima uchanganyikiwe kabisa.....
Huyu kwa anavoonekana bila shaka atakuwa msafi tu.ila omba usije kutana na asiye oga vizuri utawachukia
hahahahaha okeeHuyu kwa anavoonekana bila shaka atakuwa msafi tu.
Nafikri ifike muda tuelewe kuwa ruge nae anamatatzo si kila msanii yeye tu anamlalamikia
Meneja njaa ameamua kuharibu sio kutengenezaKwenye ukurasa wake wa instagram amesema wcb__wamekataa__kuwakaa
Je ana maana gani?
UPDATES