Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Kweli WAHACHE kukariri maHisha kabisaina weza endelea kuwepo na ikawa kama tbc fm... kila mtume na zama zake... kama efm imekuja kwa speed kali hivi... kuna mtu aliwahi fikiria kuwa kuna mshindani atakuja kutokea wa namna hii...? hacheni kukariri maisha.... kampuni huwa zina firisika pia hakuna kinacho weza kuishi milele...