Meneja wa WCB, Sallam SK atangaza kuachia ukweli wote muda mfupi ujao

Meneja wa WCB, Sallam SK atangaza kuachia ukweli wote muda mfupi ujao

ina weza endelea kuwepo na ikawa kama tbc fm... kila mtume na zama zake... kama efm imekuja kwa speed kali hivi... kuna mtu aliwahi fikiria kuwa kuna mshindani atakuja kutokea wa namna hii...? hacheni kukariri maisha.... kampuni huwa zina firisika pia hakuna kinacho weza kuishi milele...
Kweli WAHACHE kukariri maHisha kabisa
 
dah kweli kila zama na kitabu chake,Kusaga leo ni wa kuwapigia magoti kina salaam??uuwiiiii,
 
Mbona husemi wcb hawako sawa na eatv/radio na efm na tve?
Efm ni wivu wa mapenzi ndio umeleta huo mfalakano.. Ila eatv/radio niwe mkweli sijui nini chanzo.. Nimewasema hao akina ruge maana ni kesi nyingi sana tumesikia wasani wakilalamika juu yao toka enzi za akina sugu
 
Sallam sk umekiki sana jf hizi siku moja mbili
 
Nafikri ifike muda tuelewe kuwa ruge nae anamatatzo si kila msanii yeye tu anamlalamikia
 
Kwa nini Ruge ndiye aonekane tatizo, wakati yeye anatekeleza majukumu ya taasisi!?
Nafikri ifike muda tuelewe kuwa ruge nae anamatatzo si kila msanii yeye tu anamlalamikia
 
Kwenye ukurasa wake wa instagram amesema wcb__wamekataa__kuwakaa

Je ana maana gani?

8fc1b17da3710eb98972326791a43c76.jpg


UPDATES

e16e947b4fb2dcd22154eee52c364fe6.jpg

84bcc6e8a59415b345dc67ca11b3310d.jpg
Meneja njaa ameamua kuharibu sio kutengeneza
 
Back
Top Bottom