Menejimenti ya AUWSA yakaidi agizo la Waziri Mkuu, Wametumia Milioni 216 kwenda kutalii Mwanza

Mwanza hii hii ambayo maji ni ya mgao? Kweli serikalini kuna shida mahali.
Ungeenda direct, Mwanza mtaa gani una mgao wa maji???? Kuishi kwangu Mwanza sijawahi experience mgao wa maji......na maji hukatika mara moja moja tank likiwa linafanyiwa usafi.....mostly wanafanyaga siku ya jumamosi.
 
Usitumie jazba mkuu, hayo matako hata wewe unayo, hivyo jibu hoja kwa hoja, ukitaka lugha chafu zitumike basi jata uzi wako utaharibika muda sio mrefu.

Pia mimi si mfanyakazi wa mamlaka yoyote ya maji, hivyo misalaba yenu usiidondoshe kwangu, kama unaona kazi haina maslahi kwako au unapoteza muda ipige chini, fanya unayoona yanakufaa.....
 
Tunajajadili matumizi mabaya Fedha za Umma.. Reasoning capacity yako ni ndogo ndiyo maana umeishia kuwaza ni sahii Fedha za Umma kutumika vibaya..
Soma nielewe, mm nimemjibu aliyesema uache wivu. Ndio nikakuuliza huo wivu? Nikimaanisha umetoa hoja nzuri ambazo zinapaswa kuchukuliwa hatua
 
Shida ni pesa hiyo... Nyingi sana. Ila kutalii kiofisi sio mbaya. Wachunguzwe
Ww teacher skia, kwa matatizo yaliyopo kwenye hii nchi yetu na hasa sasa ni bora wakajielekeza kutatua zaidi kero kuliko huko kutalii. Hapo wanapotoka Kuna watu hawajui bomba la maji linafananaje
 
Wanafanya haya Kwa sababu wanajua kwamba hakuna hatua zitakazochukuliwa..

Hata hivyo unaweza Kuta hizo pesa ziko kwenye fungu lao la matumizi mengine na zilipitushwa na Bunge so kisheria wanakuwa wako sahihi maana hawajaingilia mafungu mengineyo.
Tatizo lingine ni ametoka wapi kwenda wapi kujifunza???? Kitombile Vege Mikdde 😁😁😁😁😁😁
 
Wanafanya haya Kwa sababu wanajua kwamba hakuna hatua zitakazochukuliwa..

Hata hivyo unaweza Kuta hizo pesa ziko kwenye fungu lao la matumizi mengine na zilipitushwa na Bunge so kisheria wanakuwa wako sahihi maana hawajaingilia mafungu mengineyo.
Ni hatari sana , Wametumia last week Wametumia 10M ya kamati ya kukagua Furniture cha Kushangaza member wa Comitee hakuna hata Mmoja mwenye taaluma ya Useremala, Ni mwendo wa kupeana ulaji,

Ingekuwa China member wa Comitee ya kukagua Furniture walioenda Dar kwa Gharama ya 10 Milion na Magari 3 na walioenda kutalii mwanza wangenyongwa
 
Hawa jamaa hawana huruma na Kodi za Wadanganyika..
 
Wanafanya haya Kwa sababu wanajua kwamba hakuna hatua zitakazochukuliwa..

Hata hivyo unaweza Kuta hizo pesa ziko kwenye fungu lao la matumizi mengine na zilipitushwa na Bunge so kisheria wanakuwa wako sahihi maana hawajaingilia mafungu mengineyo.
Kuna maana gani ya kuwa na mkuu wa nchi ambaye hawezi kuwachukulia hatua wanaotumia vibaya pesa ya serikali ambayo yeye ndiye mwangalizi mkuu!!?!
 
Weka evidence mkuu, ni kweli hizo hela zimetumika ili tukuamini, vinginevyo unachuki binafsi na jamaa.
 
Ni haki kwa menejimenti na board kwenda kujifunza kwa manejimenti na board zingine jinsi ya kuendesha mamlaka kama hizo. Tusiwe watu wa kujitia kitanzi cha kubana matumizi sana, maisha labda yaendelee na watu wajifunze
 
Kuna maana gani ya kuwa na mkuu wa nchi ambaye hawezi kuwachukulia hatua wanaotumia vibaya pesa ya serikali ambayo yeye ndiye mwangalizi mkuu!!?!
Umesoma maelezo yangu? Kama matumizi yako kwenye bajeti yao hakuna kosa na Wala sio kosa kufanya utalii, taasisi kibao zinafanya..

Kama kuna katazo la PM ni wazi hakuna mkuu wa Taasisi anaweza jilipua kuwafaidisha watumishi wake Ili yeye apoteze Kazi,hapa bila shaka amefuata sheria.
 
Ooohh nchi inaliwa kisawasawa sijui akili za Srilanka zitakuja lini kwa sisi wabongo.
 
Swala la mbuzi na urefu wa kamba liko pale wacha walambe tu kwani miaka kadhaa nyuma walikua na buyu lakn hawajalionja
 
Hivi ni Tanzania tu ndo kwenye katiba?
 
Ukiona katiba haifuatwi jua hiyo katiba ni mbovu ndo maana inachezewa.Msingi wa madudu yote yanayofanyika nchi hii chanzo chake ni katiba isiyoendana na nyakati.Hivyo ulivyovitaja lazima vikose nguvu kwasababu utekelezaji wake lazima utokane na utashi wa rais ambaye kapewa mamlaka kikatiba kua juu ya kila kitu.kwahali hiyo lazima matatizo hayataisha.
 

Achana na huyo oya oya, shukran kwa kumlisha data.

Hivi hawa AUWSA si wanahusika pia na ile project ya maji taka?

Hebu ifanyie taarifa pia, nahisi inaweza kuwa na upigaji maana kasi yake kama imezima kabisa.

200m iwe ya kujifunza, labda kama walienda wafanyakazi wote na wateja wachache kutoka kila mtaa.
 
Hii AUWASSa ina majungu sana hakuna lolote nyie ndio mlikuwa wapigaji sasa mmebanwa pumbu mnaanza kupaparika, Viongozi pigeni kazi.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…