Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
Weee acha tu.....nmenunua tiketi 4 kwa ajili ya kesho kwenda kwenye tamasha la pasaka uwanja wa taifa.Natamani nisiende aiseeee maana duuh

Msiendee mi kesho nabaki home sitokii alshabab wapo jiran tu ooooh
 
Imetoka???maana duuuuh huko mkuyuni watu wana macho makali hatari kama xray.Mimba inaweza ikatoka kwa kuangaliwa 😎😎😎

Wambea wanasema eti mimba bandia, yani kila mtu anasema lake, si unajua wambea tulivyo sometimes kama wachawi
 
Khaa!! Hao alshabaab nao nfyuu kujishaua tu kujifanya akina rambo mijitu yenyewe myeusi kama tak la mpoto

Kuna binti alikua anamuambia bebi wake wawasaidie watoke ndani pia anauliza nje vipi kuna nini akamuaga kua nakupenda bebi usiponiona basii,walishambuliwa na risasi
 
Wambea wanasema eti mimba bandia, yani kila mtu anasema lake, si unajua wambea tulivyo sometimes kama wachawi
Umbea ukizidi sana lazima uwe mchawi....teh teh teh me mwenyewe siamini kama Zari ana mimba ya Diamond.Wasanii wa bongo kuzaa wanaona kama kupoteza mashabiki,shipha lake 😱😱😱
 
Ndo hyo o?
 

Attachments

  • 1428157296545.jpg
    72.8 KB · Views: 466
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…