Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Me nataka wakunizidi kwanzia 10 mpk 20.Jamani mbona nasikia milipuko???au ndo alishababi wameingia
Alshabab jamani wanatuweka roho juuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nataka wakunizidi kwanzia 10 mpk 20.Jamani mbona nasikia milipuko???au ndo alishababi wameingia
Alshabab jamani wanatuweka roho juuu
Ngoja nilambe ndimu jamaniii nimezidiwwaaaaa
hahahaaaa ye ndo first born kwao na mie kwao nimempita mmoja tu wotee wakubwa kwangu!mie mdogo kwao
Alshabab jamani wanatuweka roho juuu
Weee acha tu.....nmenunua tiketi 4 kwa ajili ya kesho kwenda kwenye tamasha la pasaka uwanja wa taifa.Natamani nisiende aiseeee maana duuh
Mimba ya zari imeanguka
Shosti ndimu itakutosha????
Tupia apple cider vinegar
***** kunywa tindikali kabisa nfyuuu, nsukuma toka akuchukue iringa hakuna cha pete wala barua mamaeee
Msiendee mi kesho nabaki home sitokii alshabab wapo jiran tu ooooh
Mimba ya zari imeanguka
Imetoka???maana duuuuh huko mkuyuni watu wana macho makali hatari kama xray.Mimba inaweza ikatoka kwa kuangaliwa 😎😎😎
Khaa!! Hao alshabaab nao nfyuu kujishaua tu kujifanya akina rambo mijitu yenyewe myeusi kama tak la mpoto
Wambea wanasema eti mimba bandia, yani kila mtu anasema lake, si unajua wambea tulivyo sometimes kama wachawi
Kuna binti alikua anamuambia bebi wake wawasaidie watoke ndani pia anauliza nje vipi kuna nini akamuaga kua nakupenda bebi usiponiona basii,walishambuliwa na risasi
Umbea ukizidi sana lazima uwe mchawi....teh teh teh me mwenyewe siamini kama Zari ana mimba ya Diamond.Wasanii wa bongo kuzaa wanaona kama kupoteza mashabiki,shipha lake 😱😱😱Wambea wanasema eti mimba bandia, yani kila mtu anasema lake, si unajua wambea tulivyo sometimes kama wachawi
Nyie alshabaab hawa loh!!