Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
Napenda kutuma salamu kwa wanawake wote kuwa nami nitakua na mapesa mengi kumzidi mengi ili nifanye kufuru na dhambi, maana nitatubu badae.
 
Amefanya vema,hawa akina dada wanahitaji watu wa kuwasitiri,na ikibidi ratio ya 1:3 maana wanateseka kusaka ndoa hawapat
 
naona mpaka wazee nao wanajua maana halisi ya tikisa vizuri kabla ya kutumia!

Ishakuwa fashion mjini, zaa uolewe!

HIVI K LYN ANA MIAKA MINGAPI COMPARED TO LE MENGI?
 

kwani alikuwa hana mtoto wa kiume??!!!
 

Aiseee I didn't knew this!!!
Mengi nae sasa khaaaa!!!!3times?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…