Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
Vizuri.Unamfahamu Mengi kwelikweli!
 
Kuna ya kujifunza kwa huyu mdada, kwanza hana kashifa za kuruka ruka zaidi ya miaka mitano aliyokuwa na mzee wake hatujamsikia akiruka ruka na wanaume, hii inaonyesha karidhika na mzee wake.
 
Hii ndio mila ya kiafrika, mapenzi hayana umri. Kina Zuma huoa vigori karibu kila mwaka hatusemi, Leo hii iwe habari!
Hongera mzee Mengi!
 

Kwani Mengi hana mtoto wa kiume?
 
Kama pesa ipo shida iko wapi? Safi mengi na mke wako jack.
 
Pesa can talk, pesa can see, pesa can eat, pesa can walk but pesa does not love
 
Ukiacha marehemu anaye mtoto mwingine wa kiume anaitwa Abdiel.. Ni mtoto wake wa pili wa kiume na hilo jina ni la babu yake mzaa mama Mangi Abdiel Shangali.

i know Abdiel...ndio maana nimemuuliza huyo niliemquote,kwasababu alichosema ni as if hana mtoto mwingine wa kiume
 
i know Abdiel...ndio maana nimemuuliza huyo niliemquote,kwasababu alichosema ni as if hana mtoto mwingine wa kiume

Hivi what is that dude do for a living?? He is keeping low profile mpaka inakuwa shida kumtambua anachofanya
 
Wazee wengine waige mfano wa mheshimiwa mengi kwa kufunga Ndoa katika umri wowote ule
 

Attachments

  • 1428468290916.jpg
    41.2 KB · Views: 420
  • 1428468312686.jpg
    47.6 KB · Views: 424
  • 1428468337720.jpg
    40.9 KB · Views: 410
  • 1428468359200.jpg
    62 KB · Views: 418
hivi amefunga ndoa na nani huyoo? mh! naskia harufu ya ankara!
 
Poor mind discuss people.
Average mind discuss events.
Strong mind discuss new ideas .
 

Dkt. Reginald Mengi akiwa na familia yake


CONGRATS TO BOTH JACQELINE AND REGINALD MENGI!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…