stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Kwa akili ya kawaida tu....unafkiri kuna true love kwenye hyo ndoa ???
Wakat mwingine tujaribu kukubali ukweli/facts.
I've met tha old man in person, i kno him well. Trust me hapo imependwa pesa.
Upati ng'oo!!
picha moja tu ya bwana na bibi harusiNdo tunarudi toka harusini kwa hiyo unasemaje
picha moja tu ya bwana na bibi harusi
Kweli mkuu hebu pata picha Mengi asingekuwa na mzigo, mbona hawampendi Senga au Mzee Jongo?
Usiandikie mate na wino Upo.
..get one and try... Kama hayamo jifanye yamo upige pesa....kama yamo ni added advantage... Unataka ukale polisi?
Wewe kama huna kaa kimya, kuna wenzio wanatafuta watu wakutumia nao, hahahahahah!!!!!!!1 unalo hilo kalaleeeeeeeeeeeeee
Bora alivyohalalisha.
Maana kuna kipindi mzee Mzima alifuatwa na Mama Abraham hapo kwenye luxury apartments next to Silver Oak, mama ana mguu wa kuku getini, walinzi wanataka kumzuia, huku ndani Mnyarwanda anamhimiza Mengi aruke ukuta.
Mengi alivyo stelingi wa kichaga akaruka ukuta na kukimbia mpaka Muhimbili kupanda taxi, huku amevaa kikofia kuficha sura.
Watoto wa mtaani wakapata tambala.
Acheni kelele tafuteni pesaa!!
Kweli mkuu hebu pata picha Mengi asingekuwa na mzigo, mbona hawampendi Senga au Mzee Jongo?
Yupo ana live her life.... Hela ipo, watoto wenyewe wana hela vile vile ana shida gani.
Khaaàsaaa sasa ubibi wote ule anakimbiza mwanaume na bastola kwani yule kidumu wake Doctor alienda wp?
I kno....U never kno...labda na yeye anachepuka huko anakula uroda. Utajuaje. Tehe
Yule mama alikuwa anampiga Mengi, wewe unamuita bibi.
Mengi ujanja wote alikuwa anamuogopa. We unafikiri mpaka kufikia talaka mchezo?
Kweli mkuu hebu pata picha Mengi asingekuwa na mzigo, mbona hawampendi Senga au Mzee Jongo?
wanaume acheni unafiki,successful women intimidate most of y'all,and some of u turn to find b.itches who can really spend money forgetting women u hustled with,Hahaha ndio maana yake....mi namheshimu sanaa mwanamke naye fight nae maisha from scratch tokea sina kitu mpaka mtu una make it big..
Hata kama nachepuka...she wud never ever find out, its out of love, care and respect. Kamwe siwez mdharau. Issue is wengi tunajisahau sanaa.
wanaume acheni unafiki,successful women intimidate most of y'all,and some of u turn to find b.itches who can really spend money forgetting women u hustled with,
and u speaking of respecting a woman and cheating on her at the same time,shame on u,wether she finds out or not,
no wonder women not women nowadays...
,good night,don't mind my tone...