stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Kwa akili ya kawaida tu....unafkiri kuna true love kwenye hyo ndoa ???
Wakat mwingine tujaribu kukubali ukweli/facts.
I've met tha old man in person, i kno him well. Trust me hapo imependwa pesa.
Kweli mkuu hebu pata picha Mengi asingekuwa na mzigo, mbona hawampendi Senga au Mzee Jongo?