Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.

Kweli kabisa mkuu sio hawa wa sasa hivi paper loving,,,hata sie w/ume tunakosea sana ukishapata hela unataka kung'oa kina Kajala sijui Wema yule uliyeanza nae maisha unamuona skrepa.
 
Hahahaa usiku huu umenifanya nicheke....senga angekuwa nazo na yeye angekuwa na mbebez mkare

Kweli mkuu hapo Klyn anaona pua ya mengi kama ya Kinyarwanda wakati kama Ngumi, hela kitu kibaya sana kwakweli Negative inakuwa Positive. Senga angekua nazo mbona utamuona Hashim Thabeet ila kwasasa hivi utamuita majina yote ngoja azipate.
 
Mm nilichelewa ndege, manji na rostam walikuwepo pia.
 
Hiyo si ndoa ni ndoana,Mengi kapenda papuchi mbichi,K-lyn kapenda pesa,that's all.

Kila ndoa ina reasons hata wote mkiwa na 20 yrs kila moja ana malengo yake so sioni tabu mmoja akipenda pesa mwingine kitu fulani . hata wewe ukioa kuna kitu utapenda kitakuvuta : hamna mahusiano yasiyokuwa na reasons /vichocheo.
 
yani kwenye hii sredi hadi sasa sirikali inaweza kujikusanyia 50 millions kama fine na kuwapa miaka 30 ya jela mkagawane wenyewe huko!
Hii Sredi nafikiri itasaidia kuinua mapato ta sirikali. Wangejua wakaanza upekuzi leo humuhumu na walioitunga nao watakuweko kule Segerea:heh:
 
Kweli mkuu hapo Klyn anaona pua ya mengi kama ya Kinyarwanda wakati kama Ngumi, hela kitu kibaya sana kwakweli Negative inakuwa Positive. Senga angekua nazo mbona utamuona Hashim Thabeet ila kwasasa hivi utamuita majina yote ngoja azipate.

Pesa sabuni ya roho,ata kama ukiwa mbaya ukiwa na pesa utaitwa handsome kaka,pesa noma
 

I think marriage is not a good idea when you have much money, hawachelewagi kuulizia paso kwa paso bila huruma. Uwaone hivyo hivyo wananukia fragrance, wakikuchenjia hao wanakuwa kama mashetani. Wajameni tuwe makini sana.


Watakavyopata wakiwa pamoja ni halalii kugawana,alivyovikuta si halali
 
The thing i like and proud of this honourable man, Ana moyo kusaidia sanaaa....He makes billions each year but good thing is that he gives back to his people unlike other businessmen. Nimejifunza vingi from him. Hata kama anafanya hvyo kupamba biashara zake. He is still a humble and giving man. Mungu amzidishie sanaa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…