Ni sawa anamahela lukuki,swali je yaliyomo yamo????
EEH NDO MWENYEWE NILICHEZA SANA KAMA NIMECHANGIA VILEKumbe na wewe ulikuwepo kweli jamaa mwenye suti ya kijivu alitia fora.
mkuu nakuona unakuja kwa speedhahah so na ww ni shosti yake klyn eeh
Fine milioni 5 au jela miaka 3 - Peter Serukamba
safi sana, inabidi atafute wa level zake...Na akuje asikie, sina habari nae, kwanza kafilisika siku hizi.
safi sana, inabidi atafute wa level zake...
hivi vizee vya namna hii vinapatikana wapi...nijisevie hata mmoja
Mpwa changamka tu.
Ninavyo nikupe No.hivi vizee vya namna hii vinapatikana wapi...nijisevie hata mmoja
Niko mingle mpwa... swalama lakini
Come on my princess, you know I can't say NO! But you know what? Air Force One, Hell No... tunapeleka order Airbus kwa ajili ya kutengeneza custom made wedding plane na sio ile ya Obama ambayo hadi Bush kapigia ushuzi. Hii custom made wedding plane kutakuwa na 7 Star Hotel, baby, mbona unanidhalilisha? 5 Star Hotels zilikuwa ni karne 20, we ain't no longer talk of 5 Star hotels again... hizo ni kwa ajili ya vitajiri aina ya Mengi na huyo Mzee wako mwingine anayetaka kushindana na Diamond kwa kuwa na beautiful lips!
Natangaza rasmi kumpa Babu yenu Asprin kibarua cha kuandikisha majina ya JF Members ambao pamoja na mambo mengine atakuletea sizes za kila mmoja kwa ajili ya custom made outfits itakayoendana na mandhari ya hiyo custom made wedding plane.
Need anything more? Nitarudi, ngoja nijibu text ya Jakaya Kikwete, cjui nini tena huyu Mzee manake ni full usumbufu wakati nimeshamwambia sina mpango wa kuwekeza kwenye kiji-reli chao cha standard gauge.
Ndio maana nimekuganda kama ulimbo, Asprin atafanya tu hiyo kazi hata kwa kulia ila kazi itakamilika.

Mkuu Asprin, njoo usikie hii kauli ya mrembo Apologise lady
Na akuje asikie, sina habari nae, kwanza kafilisika siku hizi.
Umeona ig bibie kabadili jina na kuwa j-n mengi
Aisee...............:shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked:
Madam Rita, inasemekana mkavu saana,
Heaven on Earth unataka jamaa aiweke papuchi ya madam hapa jukwaani ndio uamini...We need proof sio maneno ya vibarazani bana
Ndio nimeenda kuangalia.. kaanza kutumia jina official lol