Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
Come on my princess, you know I can't say NO! But you know what? Air Force One, Hell No... tunapeleka order Airbus kwa ajili ya kutengeneza custom made wedding plane na sio ile ya Obama ambayo hadi Bush kapigia ushuzi. Hii custom made wedding plane kutakuwa na 7 Star Hotel, baby, mbona unanidhalilisha? 5 Star Hotels zilikuwa ni karne 20, we ain't no longer talk of 5 Star hotels again... hizo ni kwa ajili ya vitajiri aina ya Mengi na huyo Mzee wako mwingine anayetaka kushindana na Diamond kwa kuwa na beautiful lips!

Natangaza rasmi kumpa Babu yenu Asprin kibarua cha kuandikisha majina ya JF Members ambao pamoja na mambo mengine atakuletea sizes za kila mmoja kwa ajili ya custom made outfits itakayoendana na mandhari ya hiyo custom made wedding plane.

Need anything more? Nitarudi, ngoja nijibu text ya Jakaya Kikwete, cjui nini tena huyu Mzee manake ni full usumbufu wakati nimeshamwambia sina mpango wa kuwekeza kwenye kiji-reli chao cha standard gauge.

Ndio maana nimekuganda kama ulimbo, Asprin atafanya tu hiyo kazi hata kwa kulia ila kazi itakamilika.

Aisee...............:shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked:
 
Mkuu Asprin, njoo usikie hii kauli ya mrembo Apologise lady

Na akuje asikie, sina habari nae, kwanza kafilisika siku hizi.

Mara pazia la hekalu likapasuka..... ODM akasema YAMEKWISHA!!!
 
Mzee Mengi yupo separated na mkewe Mercy hawaja divorce , pili Mauritius wanakubali kuwaozesha watu NDOA ( watu wawili angalau mmoja awe single ).

Mengi ni mkristo na sidhani Tanzania kuna NDOA mbili za kikristo.

Congratulations kwa wanandoa ila K - Lyn awe macho.Mengi may be the smart one here.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom