Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Njoo mzee mwingine bado nipo hapa! Kwikwi
mzee mwenye pesa na alie tayari pesa zake zitumike LOL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo mzee mwingine bado nipo hapa! Kwikwi
hivi vizee vya namna hii vinapatikana wapi...nijisevie hata mmoja
nikuunganishe na baba yanguhivi vizee vya namna hii vinapatikana wapi...nijisevie hata mmoja
Kwa niaba ya mimi na wazee wenzangu wa namna hii naomba nikujibu suali lako, sisi tupo O'Bey, Mbezi, Masaki, Dom, Arusha kwa maelezo zaidi tuma namba yako PMhivi vizee vya namna hii vinapatikana wapi...nijisevie hata mmoja
nikuunganishe na baba yangu
Rugemalira kiboko ya wagawa pesa.. anapatikana hapo makongo juu..
halafu tunakaa jirani tu na huyu.........
Ni sawa anamahela lukuki,swali je yaliyomo yamo????
hivi vizee vya namna hii vinapatikana wapi...nijisevie hata mmoja
Kwa hiyo mtu akiolewa na masikini ndio kiashirizi cha kutokuwa na njaa?
hivi vizee vya namna hii vinapatikana wapi...nijisevie hata mmoja
Navyojua mimi vizee huwa havipendi vizee vyenzao...pole
Njoo moshii
kwa sababu we mzee basi unadhani humu wote wazee
hebu kajambe mbele
Kwa hiyo mtu akiolewa na masikini ndio kiashirizi cha kutokuwa na njaa?
Hahaahaa umenichekesha msibani Heaven.
ana ela??????