Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
KAMA KUNA MTU anayeelewa basi KYLN ni mmoja wao
kyln amejiweka mbali na kashfa za kijinga, amejaribu kujijenga kuheshimika na haya ndio matunda ya kujiheshim

big up kyln.....wenye wivu wajinyonge
 
Mhhh!!!
 
Aah, bahati yake tu na muda wake wa kufurahi ndo huu.Huyu dada alikua anafulia mpaka anaenda kukianika didi, huyu alikua faraja ya vibabu vya kizungu kwa malipo ya dolari? Huyu aliwahi kuwa engaged na Kinje kisha akatoroka na Kibabu cha kizungu.so tusijifanye twampa sifa za marehemu, ametoka mbali sana huyu.
 
Mengi kamuokoaa sanaaaa
 
Mengi kamuokoaa sanaaaa

Yani kuna muhaya mmoja chotara wa kijerumani, I happen to know her longi, yeye mpaka keshokutwa anajiuZa kwenye mahoteli makubwa ndio alikua anasema kuwa walikuaga wanauza wote kabla hajawa miss tz.Alipoupata akabadili wateja.
 
Everybody get past ...unafikiri ukisema Hivyo Leo nani ataamini ...na hata akiamini who cares ????

Wanasema Enjoy Your Present ,Forget Your Past ..

Oprah Winfrey ....Huwa anasema amekualia Maisha magumu ....alibakwa utotoni ....,akijaribu kutoka watu walitaka Penzi na pia at times alijiuza ...,.only in Africa mtu akishakuwa tajiri anataka Tumaini she was a saint au watu wanataka awe Hivyo .
 
Aah, bahati yake tu na muda wake wa kufurahi ndo huu.Huyu dada alikua anafulia mpaka anaenda kukianika didi, huyu alikua faraja ya vibabu vya kizungu kwa malipo ya dolari? Huyu aliwahi kuwa engaged na Kinje kisha akatoroka na Kibabu cha kizungu.so tusijifanye twampa sifa za marehemu, ametoka mbali sana huyu.

Watu mna jeoulous ....si zamani Sasa ...

Why Should you be ashamed with your Past .......

Hivi ukiambiaa mfano Rais kipindi yuko Magomeni ...walikuwa wanakaa kijiweni hawana pesa ya disco ...na DEMU mmoja shangingi Ndie alikuwa akitoka viwanja ...kuwagidia Mabwege Ndio anawapa sh 20 wanaenda kula Bata ....., Huyo Bibi Sasa hivi yupo na wala Jk akimuona hajivungagi...., nafikiri JK ni Aina ya watu ambae Huwa haonei aibu past yake controversial
 
Aah, bahati yake tu na muda wake wa kufurahi ndo huu.Huyu dada alikua anafulia mpaka anaenda kukianika didi, huyu alikua faraja ya vibabu vya kizungu kwa malipo ya dolari? Huyu aliwahi kuwa engaged na Kinje kisha akatoroka na Kibabu cha kizungu.so tusijifanye twampa sifa za marehemu, ametoka mbali sana huyu.

Kiruuuuuuuuuuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom