Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mie nilikaa mlangoni miezi 6... Alinichoshaje...
Mh! Unasemaaaa?😱😱😱
how mkuu wangu?Mengi is still married but separated .
Pesa ndo visible God yani ndo proved God huyu ukimpata hakuna kinachoshindikana ...Tumtafute pesa sana
poleni sana mie siku moja tu
nilichoka ksubiria mlangoni...... halafu kuna vitu naenda chungulia
Duuu mchoyo huyoo vipi picha za harusi keshaziwekaa
hajaweka wala nini
Try him, then feedback is necessary😉😉
KAMA KUNA MTU anayeelewa basi KYLN ni mmoja wao
kyln amejiweka mbali na kashfa za kijinga, amejaribu kujijenga kuheshimika na haya ndio matunda ya kujiheshim
big up kyln.....wenye wivu wajinyonge
hivi vizee vya namna hii vinapatikana wapi...nijisevie hata mmoja
KAMA KUNA MTU anayeelewa basi KYLN ni mmoja wao
kyln amejiweka mbali na kashfa za kijinga, amejaribu kujijenga kuheshimika na haya ndio matunda ya kujiheshim
big up kyln.....wenye wivu wajinyonge
Aah, bahati yake tu na muda wake wa kufurahi ndo huu.Huyu dada alikua anafulia mpaka anaenda kukianika didi, huyu alikua faraja ya vibabu vya kizungu kwa malipo ya dolari? Huyu aliwahi kuwa engaged na Kinje kisha akatoroka na Kibabu cha kizungu.so tusijifanye twampa sifa za marehemu, ametoka mbali sana huyu.
Mengi kamuokoaa sanaaaa
Yani kuna muhaya mmoja chotara wa kijerumani, I happen to know her longi, yeye mpaka keshokutwa anajiuZa kwenye mahoteli makubwa ndio alikua anasema kuwa walikuaga wanauza wote kabla hajawa miss tz.Alipoupata akabadili wateja.