Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
Ni Kweli Mercy yupo kwenye Body ya Kampuni Za mengi......ila kimila yetu ukivuta mke mdogo Huwa atakiwi kurithi vitu alivyovikuta..basi tu Umaskini lakini toka zamani ..ukioa mke mpya ni Sharti umpe nyumba yake ,shamba lake ...na Mifugo yake apate maziwa...na watoto atakaozaa watarithi vitu Hivyo ....huwezi kuoa mke mdogo umuweke kwenye mgao wa mke mkubwa ..

Umenena kweli kiongozi. Wachagga ndio tunavyofanya.
 
Picha zinasema yote!
 
Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    41.2 KB · Views: 2,537
  • 2.jpg
    2.jpg
    40.4 KB · Views: 1,993
  • 3.jpg
    3.jpg
    54.4 KB · Views: 1,954
  • 4.jpg
    4.jpg
    46.3 KB · Views: 1,917
  • 5.jpg
    5.jpg
    37.4 KB · Views: 1,878
  • 6.jpg
    6.jpg
    65.6 KB · Views: 1,891
  • 7.jpg
    7.jpg
    53.5 KB · Views: 1,913
  • 8.jpg
    8.jpg
    60.2 KB · Views: 2,049
  • 9.jpg
    9.jpg
    61.8 KB · Views: 1,918
Hahahaaaa......so mzee naye anahit na kurun? Kumbe kweli Uzee mwisho chalinze wadada hawataki tu kukubali
 
Hahahaaaa..... Then what goes around comes around. Chezeiya kitu au mtu yoyote lkn sio pesa
 
Dunia haina usawa aisee.
Yani ndoa inafungiwa kwa OBAMA?!!
Kuna jamaa yangu kafungia ndoa DONDWE ya KISALAWE.
 
hapa pana cha kujifunza kiukweli.

1) binti kakosa kijana mwenzie anaye weza kumridhisha ndo mana kajionea bora atoke na mzee manake kiukweli wananguvu ukicompare wa vijana wa kileo

2) binti katafuta eleri kwa lazima manake alijua kutoka na mzee afu pesaless hailipi, na hata ukimkuta kijana rijali mshiko wamaana hana so nikajilie vyangu katika ujana natesa ujana adi uzee

3) mzee alipiga picha nina mali, machame mrithi wa maali ni mtoto wa ndoa wa kiume vinginevyo mtoto wa kiume wa ndugu yaani kaka, sasa mali zangu zote hizi nimpe mtu hapana, ngoja nizae changamoto ikaja Mercy ni mzee nafanyeje manake akibeba mimba atazaa mongolia .............
basi akaamua kudiscuss nae na kutafuta binti mdogo akajua huyu nikimpandikiza hata mapacha ataweza kuzaa bila shida.

4) nataka mtoto wa kiume nifanyeje?? nikapandikize mapacha wa kiume ili nipate mrithi na this tyme sio kwa kubahatisha bali nihakaikishe nakuwa na wa reserve...........

5) pesa ipo kila kitu kinawezekana so leta binti nifurahie maisha
 
Wow... kweli maisha yana sura nyingi!!!

Mie niliangalia kwamba hawa wamependana... hizo analysis nyingine dah
 
Ni mateso bila chuki dawa ni kuzisaka noti tu vinginevyo uzee kama huna pesa una shombo mbaya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom