Wolle Melkas Fernando
JF-Expert Member
- May 4, 2016
- 253
- 360
Chadema ilipoteza mwelekeo kwenye Njiapanda ya utawala kati ya JK na JPM. Unajua ukitaka kuwa loyal simamia kile unachokiamini mwanzo mwisho hata kama adui akija akaanza kukisimamia unachokiamini ungana nae, akienda tofauti achana nae.
Kwanini kwa JK CDM ilikuwa na Nguvu na kwa JPM ikaanza kupoteza nguvu na kwa SSH sahivi imepoteza kabisa ushawishi? Sababu ni hii japo watu watapinga. CDM tangu mwanzo ilijipambanua kupambana na ufisadi nankutowajibika...JK alizidiwa na hivyo vyote, utendaji ukawa sio mzuri.
CDM walitumia udhaifu wa utendaji wa JK kujiimarisha. Sasa alipoingia JPM akaanza kutekeleza kwa kiasi kikubwa Yale waliyokuwa wanayapigia kelele CDM, Chadema wakabadili gia na kusema JPM anawaonea watu ambao walionekana ni mafisadi. Mafisadi waliokuwa wakipigiwa kelele na Chadema wenyewe.
Mfano mzuri ni yule Singa Singa wa Escrow Habindas Seth sijui kama jina lake nimepatia alitetewa sana na CHADEMA, na na wanaharakati wengine wengi baada ya kukamatwa na kupelekwa mahakamani. Sasa watu wakaanza ku-reason upinzani mnataka nini? Haya kaja SSH tena wanazungumzia upigaji, rushwa, na kutowajibika. Je wananchi wawaeleweje?
Bado mnamtafuta Mchawi?
Jambo lingine Chadema haiwathamini vijana wanaojitoa, haiwakuzi vijana zaidi sana miaka yote utawasikia wakongwe walewale tu, mtu akitoka ccm kuingia Chadema anakula cheo na yule aliyepambana kwa jasho na damu anabaki palepale, hii haizungumzwi lakini inawauma sana Wazalendo wa Chama.