Menina aishtaki DSTV, adai shilingi za kitanzania bilioni 1.2

Menina aishtaki DSTV, adai shilingi za kitanzania bilioni 1.2

Akipata mwanasheria mzuri anashinda kesi hii. Haya ma vipindi mengine ya umbea umbea ni ya kijinga sana
Mkuu yaani unaamini hawa wa South kwa uwekezaji mkubwa waliofanya itakuwa rahisi sana kula pesa yao? Mwanasheria yupi huyo mzuri atakula kirahisi pesa ya DSTV?
 
Kwa sababu DSTV imeanika umbea wa majirani nchi nzima Kupitia hicho kipindi tajwa
Kuanika taarifa iliyosemwa na mtu ni kosa? Kwa sheria ipi? Leo hii ITV wakionyesha habari ya Gwajima akiwa kanisani kwake akiponda usalama wa chanjo, na kampuni za chanjo kama Pfizer zikala hasara, Pfizer wataishtaki ITV au watamshtaki Gwajima?, hivi mkitumia akili zikizo kichwani huwa mnapungukiwa na nini kwani?
 
Kuna boss wangu mmja ni myahudi kauzu balaa
Ukimfata kichwakichwa mambo ya hela kumuomba anakuambia ichoreee chini hiyo hela unayoitakaaa uichkueee😂😂

Ova
😄😄😄 Aisee hii nai copy mzee baba maana huku mtaani Kuna watu wanadhani hela inapatikana kizembe tu.
 
😄😄😄 Aisee hii nai copy mzee baba maana huku mtaani Kuna watu wanadhani hela inapatikana kizembe tu.
Hahaha watu wanatamka tu hela
Huyu dada ajifikirie mara mbilimbili

Ova
 
Back
Top Bottom