wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
😄😄😄 Ndio maana hata story yako ya Ray alilipwa mil100 nilijua Ni uongo mtupu,eti unajua DSTV Ni Nini?😁😁 Mpolipoli bado unadhani kuijua DSTV Ni big dealuna hakika Dstv unajua ni nini ndugu yangu? we endelea kuangalia movie za Juma khan za kutafsiri kwenye mabanda ya kuku huko nanjilinji