Menina aishtaki DSTV, adai shilingi za kitanzania bilioni 1.2

Menina aishtaki DSTV, adai shilingi za kitanzania bilioni 1.2

Basi kwa mantiki hiyo hadi Tanesco atatajwa maana yeye ndiye alie-supply umeme uliorusha matangazo, na hata wale watangazaji watakaokua wanahost kipindi nao washtakiwe, sivyo?; lazima pawe na mipaka ya liability, kosa hapo ni kuchafua mtu, kilichochafua mtu ni maneno ya majirani, period.Hivyo majirani washtakiwe, sio Tanesco wala mwingine yeyote.
Hapa mpaka serikali itaitwa yaani. Kwann wamewapa DSTV leseni wakamchafua penina?🤣🤣🤣.
 
Tangu lini kutoa leseni kwa mtu aliyekidhi vigezo ikawa kosa? Kwa sheria ipi?
Usiku huu na biashara za kutokulala unakuwa serious yann😁

We achana na kuelimisha, furahia porojo, vaa akili ndogo kisha na wewe piga porojo tu humu. Ushaambiwa kuna 1.2b zimepotea zinatakiwa kutafutwa na DSTV🤣.
 
Usiku huu na biashara za kutokulala unakuwa serious yann😁

We achana na kuelimisha, furahia porojo, vaa akili ndogo kisha na wewe piga porojo tu humu. Ushaambiwa kuna 1.2b zimepotea zinatakiwa kutafutwa🤣.
😂😂😂😂😂, aisee, kuna mtoto mzuri nammendea hapa, ngoja nirushe ndoano, baadae kidogo tutaendelea...
 
Nchi hii mtu mwenye leseni halali kurusha kipindi ni kosa? Tangu lini? Kwa sheria ipi?
Kupata leseni hakukuhalishi kuingilia privacy za watu , kuzusha, au kutangaza yasiyo halali.

Itokee wamerusha kipindi wakizusha kwa lala na mzazi wako kimapenzi. Je utamshtaki nani?
Mtangazani au shirika la utangazaji?
 
Kupata leseni hakukuhalishi kuingilia privacy za watu , kuzusha, au kutangaza yasiyo halali.

Itokee wamerusha kipindi wakizusha kwa lala na mzazi wako kimapenzi. Je utamshtaki nani?
Mtangazani au shirika la utangazaji?
Itikia roll call kwanza
 
Mkuu sina haja ya kubishana Ray kigosi haishi hollywood anaishi sinza ni watu ambao tuna interact nao unaona cha ajabu nini? kama unajuana na kina shelukindo wa Dstv kawaulize kama hawakukamuliwa hizo hela...yaani leo mtu aamke akatengeneze bango la tangazo aweke sura yako wewe ufurahie? labda kama mshamba ila hiyo uki msue ni hela ndefu sana ndiyo maana ccm wanafaidi hii nchi sababu hata haki kam hizi watu hawazijui na wanabisha kwamba haziwezekaniki
Kuna kampuni ya ulinzi ilimlipa mtumishi wao wenyewe kutumia picha yake Kwa tangazo la Biashara bila ruhusa. Mahakama ya Kisutu. Watu wanapiga hela kimya kimya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimesoma comment yakwanzà nikaivumilia sasa kumbe ndiyo uandishi wake sijui kiruga gani![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kiruga ndio kitu gani Ulweso?
 
Msanii,muigizaji,mc menina kaishtaki multichoice akidai fidia ya 1.2 billions
Kadai alichafuliwa na kipindi cha umbeya cha icu
Wakati wa msiba wa mzazi mwenzake mairmatha jesse,juma lokole,kwisa walifika msibani wakahoji majirani waliodai marehemu alitelekezwa na menina akiwa anaumwa akawa anafungiwa ndani hadi kifo chake
Kadai kwamba tuhuma hizo zimeathiri kazi yake na itachukua miaka 3 kurudia hali ya kawaida na katika miaka hiyo mitatu atapoteza bilion 1.2

_____________________
  1. The Citizen
  2. News

Tanzanian artiste sues MultiChoice seeking damages of Sh1.12 billion​



FRIDAY OCTOBER 08 2021​

Menina PIC

Artist Menina Abdulkarim Atiki.

Summary

  • Menina claims that her brand ambassadorial work requires her to maintain a blemish-free name, image and a good reputation to the companies that she represents.
ADVERTISEMENT

By James Magai
More by this Author

Dar es Salaam. Artist Menina Abdulkarim Atiki has sued DStv’s parent company MultiChoice South Africa which trades in Tanzania as MultiChoice Tanzania for damages amounting to Sh1.12 billion for airing content that allegedly defamed her.
The case which is before Judge Amir Mruma was first mentioned on September 27, 2021, but MultiChoice South Africa which has a foothold in various African countries was absent and Judge Mruma adjourned the case until November 10, 2021
Menina, who is also an actress and event hostess (MC) has filed the case against the South African company and its local subsidiary at the Dar es Salaam Regional High Court.
Others in the case are the Editor of the ICU- Chumba cha Umbea which airs on Maisha Magic Bongo channel on DStv; The presenters of the show, Maimartha Jesse, Juma Lokole and Kwisa Thompson (Kamanda Mzee Mkavu).
In case number 133 of 2021, the artiste alleges that the defendants defamed her with content they aired on July 23, 2021, in a programme called ICU-Chumba cha Umbea, regarding the death of her husband.
Menina claims that her husband passed away on July 19, 2021, it was then agreed that the funeral should be held at Mtoni kwa Aziz Ali, at the residence of her late husband’s aunt, Mariam Kihiyo.
She alleges that while the funeral was underway, Maimartha, Lokole and Kwisa interviewed neighbours of her late husband's aunt, with questions which according to the court documents were close-ended, insinuating that the plaintiff did not take care of her husband during illness and that she was an irresponsible wife.
The plaintiff (Menina) claims that she suffered mental and emotional harm as ICU-Chumba cha Umbea is one of the most popular programs in Tanzania, in East Africa and in all Kiswahili-speaking countries.


Basis of the claim
Menina claims that her brand ambassadorial work requires her to maintain a blemish-free name, image and a good reputation to the companies that she represents.
She also says that it will take her about a year to clean up her name and reputation, suggesting she will suffer the losses.
According to the legal files which were availed to The Citizen, Menina claims that as a brand ambassador she is paid Sh1.5 million a month and that in 2020 she was able to earn Sh180 million, so in the next three years she will lose a total income of Sh540 million.
In her music and acting, she claims that she has been earning Sh50 million a year, as it was in 2020 and so for three years he will incur a total loss of Sh150 million.
In her weekly event hosting gigs as an MC, during 2020 she claims to have earned a total of Sh144 million and that in the next three years she will lose a total of Sh432 million, claiming that her 24 clients have already cancelled orders.


kipindi hiki hapa

Ila bongo
 
Ay Ana nyumba America ipi?
Sh 100,000,000 ni pesa ndogo sana kununua nyumba America. Hiyo pesa ni sawa $49, 000- 52,000 pesa ambayo ni kiduchu saana. Hata bed seat hupati. Labda alinunua nchini Haiti.
 
Back
Top Bottom