Menina aishtaki DSTV, adai shilingi za kitanzania bilioni 1.2

Menina aishtaki DSTV, adai shilingi za kitanzania bilioni 1.2

Msanii,muigizaji,mc menina kaishtaki multichoice akidai fidia ya 1.2 billions
Kadai alichafuliwa na kipindi cha umbeya cha icu
Wakati wa msiba wa mzazi mwenzake mairmatha jesse,juma lokole,kwisa walifika msibani wakahoji majirani waliodai marehemu alitelekezwa na menina akiwa anaumwa akawa anafungiwa ndani hadi kifo chake
Kadai kwamba tuhuma hizo zimeathiri kazi yake na itachukua miaka 3 kurudia hali ya kawaida na katika miaka hiyo mitatu atapoteza bilion 1.2

_____________________
  1. The Citizen
  2. News

Tanzanian artiste sues MultiChoice seeking damages of Sh1.12 billion​



FRIDAY OCTOBER 08 2021​

Menina PIC

Artist Menina Abdulkarim Atiki.

Summary

  • Menina claims that her brand ambassadorial work requires her to maintain a blemish-free name, image and a good reputation to the companies that she represents.
ADVERTISEMENT

By James Magai
More by this Author

Dar es Salaam. Artist Menina Abdulkarim Atiki has sued DStv’s parent company MultiChoice South Africa which trades in Tanzania as MultiChoice Tanzania for damages amounting to Sh1.12 billion for airing content that allegedly defamed her.
The case which is before Judge Amir Mruma was first mentioned on September 27, 2021, but MultiChoice South Africa which has a foothold in various African countries was absent and Judge Mruma adjourned the case until November 10, 2021
Menina, who is also an actress and event hostess (MC) has filed the case against the South African company and its local subsidiary at the Dar es Salaam Regional High Court.
Others in the case are the Editor of the ICU- Chumba cha Umbea which airs on Maisha Magic Bongo channel on DStv; The presenters of the show, Maimartha Jesse, Juma Lokole and Kwisa Thompson (Kamanda Mzee Mkavu).
In case number 133 of 2021, the artiste alleges that the defendants defamed her with content they aired on July 23, 2021, in a programme called ICU-Chumba cha Umbea, regarding the death of her husband.
Menina claims that her husband passed away on July 19, 2021, it was then agreed that the funeral should be held at Mtoni kwa Aziz Ali, at the residence of her late husband’s aunt, Mariam Kihiyo.
She alleges that while the funeral was underway, Maimartha, Lokole and Kwisa interviewed neighbours of her late husband's aunt, with questions which according to the court documents were close-ended, insinuating that the plaintiff did not take care of her husband during illness and that she was an irresponsible wife.
The plaintiff (Menina) claims that she suffered mental and emotional harm as ICU-Chumba cha Umbea is one of the most popular programs in Tanzania, in East Africa and in all Kiswahili-speaking countries.


Basis of the claim
Menina claims that her brand ambassadorial work requires her to maintain a blemish-free name, image and a good reputation to the companies that she represents.
She also says that it will take her about a year to clean up her name and reputation, suggesting she will suffer the losses.
According to the legal files which were availed to The Citizen, Menina claims that as a brand ambassador she is paid Sh1.5 million a month and that in 2020 she was able to earn Sh180 million, so in the next three years she will lose a total income of Sh540 million.
In her music and acting, she claims that she has been earning Sh50 million a year, as it was in 2020 and so for three years he will incur a total loss of Sh150 million.
In her weekly event hosting gigs as an MC, during 2020 she claims to have earned a total of Sh144 million and that in the next three years she will lose a total of Sh432 million, claiming that her 24 clients have already cancelled orders.


kipindi hiki hapa


Kumbe huyu binti ni mtoto wa Atiki huyu mchambuzi wa mambo ya siasa, ok kwa hicho kipato chake aonyeshe returns za TRA ili kuthibitisha kwamba kweli analipwa hizo pesa na baada ya hiyo skandali basi sasa mikataba yake imevunjwa na hapati tena hayo ma milioni lasivyo ataangukia pua asije akawa kama akina MwanaFA na AY .
 
Akipata mwanasheria mzuri anashinda kesi hii. Haya ma vipindi mengine ya umbea umbea ni ya kijinga sana
Hakuna kesi hapo mkuu zaidi atageuziwa kibao yeye, nasema hivyo kwanza hana ushahidi wa kusema analipwa hizo pesa kwani inabidi aonyeshe marejesho na kodi za hizo pesa kutoka TRA na pia aonyeshe ushahidi wa mikataba ambayo inaonyesha kukatishwa mikataba aliyonayo kutokana na tendo la kusemwa huko DSTv na je DSTv ndio wamiliki wa hicho kipindi na je mktaba na hao watangazaji unaelezea nani atawajibika ikiwa watangazaji wameenda kinyume na utaratibu wa utagazaji ,je kipindi cha udaku kinatakiwa kiwe na maudhui yapi kuhusiana na huo udaku. Kuna wakati unaweza kushitaka upepo kwa kupeperusha dela ulilovaa bila kuvaa chupi na kukuacha uchi wa mnyama!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee cc mbna nmekutafta San skuon?
Nmekumic had naumwaaah mie loo, [emoji7][emoji7][emoji7]
Nipo mdogo wangu..😍😍😍....hutoumwa tena kipenzi dada ako nimefika.
Miss you and love you 😍
 
Huwezi kushinda kesi ya namna hii kutokana na ukubwa wa company yenyewe sababu ina uwezo wa kufanya kila kitu ili ishinde kesi. probability ya kushindwa ni 99% huo muda atakaopoteza ni bora aendelee na kazi zake za ajabu.
Kazi gn sasa kama mtu aliweza kujirekodi live akiliwa maku unafikiri kuna mtu wa b.something pale?sema kitaa pussy haziuziki anaona achek na plan B
 
Back
Top Bottom