Meninah afunga ndoa tena

Meninah afunga ndoa tena

Nasikia huyo peter alikua anamkong'oli manundu mtoto mzuri menina. Binti akaona isiwe shida waachane kimya kama walivyofunga ndoa kimya!
Yaan ukiingia insta ya menina utaona kabisa ni binti wa dini sana halafu anajiheshimu sio kama miaka ya zamani alivokua anaimba. Inshort ni wife material kwa sasa,jamaa kachezea kizuri mwenzie kakiwahi.
Anajiheshimu insta?
Kwani anaswali insta?
 
Nasikia huyo peter alikua anamkong'oli manundu mtoto mzuri menina. Binti akaona isiwe shida waachane kimya kama walivyofunga ndoa kimya!
Yaan ukiingia insta ya menina utaona kabisa ni binti wa dini sana halafu anajiheshimu sio kama miaka ya zamani alivokua anaimba. Inshort ni wife material kwa sasa,jamaa kachezea kizuri mwenzie kakiwahi.
Kuna ubuyu mwingine wadai kutoka na baba mkwe eti ndo sababu ndoa ikawa chali mi naona hàjatulia MTU wa kuolewa daily na huyo mwanaume wamejuana lini licha ya kipigo atakua naye somewhere ana katatizo
 
Ukishazoea kulala bila chupi lazima utaimiss hiyo hali ujue...sasa likitokea la kutokea inabidi utafute backup fasta
 
Kuoa binti was mjini ninkujitafutia presha bure,hawaogopi ndoa kuvunjika
 
Mmmmm jamaa mpaka dini alibadilisha kisa mwanamke kweli mahaba niue
 
Kuna ubuyu mwingine wadai kutoka na baba mkwe eti ndo sababu ndoa ikawa chali mi naona hàjatulia MTU wa kuolewa daily na huyo mwanaume wamejuana lini licha ya kipigo atakua naye somewhere ana katatizo
Baba mkwe???[emoji134] [emoji134]
Siamini aisee
 
Aje atupe mrejesho kama hii ndoa ya safari hii itajibu au mpaka kwa Dr Mwaka.
 
wiki mbaya hii Kwa wakuu , huku wa muhongo amepigwa kibuti huku wa udom watu wamemshikia bango
 
Back
Top Bottom