Meninah afunga ndoa tena

Meninah afunga ndoa tena

wp-1465138270038.jpeg
hyu bwana wa zamani alikuwa mzuri kweli
napenda sana wanaume weusi hyo wa sasa sio flavour kabisa
hata hyo ndoa haitodumu
Dah...endelea kutafuta.
 
menina ila kajitahid sana kushndwa kuvumiliaa
 
Huyo mtoto waziri muongo sio wake wa kumzaa alimuadopt tu kibinadamu aliamua kumlea na kumfanya km mwanae tangu utotoni ndo mana mwaona anatumia jina la haule
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ndoa hiyo ishaota mbawa . Bwana alivyopigwa chin kwenye ile taasis ya kifedha alipokuwa anafanya kazi (baada ya taasis hiyo kufilisika)
[emoji23]aisee nilihisi tu...bongo movie bwana
 
Back
Top Bottom