Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Karibu sanaMimi ni mweusi kama mkaa...njoo kwangu basi [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sanaMimi ni mweusi kama mkaa...njoo kwangu basi [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti tayari.ila menina mzuri balaaHawajaachana tu mana mastar nao
Kabisa mkuu, yaani anatuacha roho juu juu kama kizibo cha sodaHapa JF si sehemu ya kubaniabania habari, hebu mwaga umbea tuongeze siku za kuishi......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa nguvu alikuwa kwenye taasis flan ya kifedha ambayo inapatikana maeneo ya sea view kwa sasa imechukuliwa na Azania bank[emoji40]Alikuwa pride Nini?
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa sasa bibie anajivinjari na [emoji40][emoji40][emoji40][emoji23]aisee nilihisi tu...bongo movie bwana
Ila mdada mzuri yule? Ana. Hela zake lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa nguvu alikuwa kwenye taasis flan ya kifedha ambayo inapatikana maeneo ya sea view kwa sasa imechukuliwa na Azania bank[emoji40]
Mzuri haswa ila kwa sasa ndo akili ya kutafuta hela imemjia vyema baada kuachana na mziki na ndoa zake 2 kuvunjia. Kwa sasa atakuwa analitumia jina lake vyemaIla mdada mzuri yule? Ana. Hela zake lakini
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa sasa bibie anajivinjari na [emoji40][emoji40][emoji40]
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa sasa bibie anajivinjari na [emoji40][emoji40][emoji40]
mamaweee[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndoa hiyo ishaota mbawa . Bwana alivyopigwa chin kwenye ile taasis ya kifedha alipokuwa anafanya kazi (baada ya taasis hiyo kufilisika)
Unaongea na sisi ama unaongea na simu?Nasikia huyo peter alikua anamkong'oli manundu mtoto mzuri menina. Binti akaona isiwe shida waachane kimya kama walivyofunga ndoa kimya!
Yaan ukiingia insta ya menina utaona kabisa ni binti wa dini sana halafu anajiheshimu sio kama miaka ya zamani alivokua anaimba. Inshort ni wife material kwa sasa,jamaa kachezea kizuri mwenzie kakiwahi.
Jina lake utadhani ni tusi....
kweli eeeeh [emoji15]Nasikia huyo peter alikua anamkong'oli manundu mtoto mzuri menina. Binti akaona isiwe shida waachane kimya kama walivyofunga ndoa kimya!
Yaan ukiingia insta ya menina utaona kabisa ni binti wa dini sana halafu anajiheshimu sio kama miaka ya zamani alivokua anaimba. Inshort ni wife material kwa sasa,jamaa kachezea kizuri mwenzie kakiwahi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah kaibukia bongo?Mia khalifa mwenyewe kumbe ndo huyu
[emoji3][emoji3][emoji3] anajua kuzitafuta pesaIla mdada mzuri yule? Ana. Hela zake lakini
[emoji3][emoji3]Mia khalifa mwenyewe kumbe ndo huyu
[emoji3][emoji3][emoji3]Nasikia huyo peter alikua anamkong'oli manundu mtoto mzuri menina. Binti akaona isiwe shida waachane kimya kama walivyofunga ndoa kimya!
Yaan ukiingia insta ya menina utaona kabisa ni binti wa dini sana halafu anajiheshimu sio kama miaka ya zamani alivokua anaimba. Inshort ni wife material kwa sasa,jamaa kachezea kizuri mwenzie kakiwahi.
Mkuu hilo tako liko wapi!!?Sema sijapenda tako lake ni halina ushirikiano