Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
I have already removed the paragraph and replaced it with something different. Flexibility is a characteristic of intelligent people, and I am lucky to be one of such people.
Hakuna mtu anayekataa kuwa Tyson kafilisika.So is this your mea culpa for goofing up about Mike Tyson?
Word to the wise...next time make sure you consult your source(s) before you make declarative statements lest you end up with a rotten egg on your face like you just did.
Deuces.
Hakuna mtu anayekataa kuwa Tyson kafilisika.
Wewe umewekeza wapi, if you Dont mind? Kila kitu kina mwisho by the way.....Issue siyo kuwa na mpunga. Issue ni kufanya mpunga uendelee kuongezeka hata bila kufanya kazi. Muziki una mwisho.
Nimefuta hiyo paragraph ili nisiendeleze ubishi. Siwezi kupost kitu nisichokuwa na uhakika nacho. Lakini hata tukiendeleza ubishi tutapata faida gani?Tyson ni kweli hali yake sio mzuri sana financially compared na zamani lakini hajafikia hiyo hali uliyosema wewe!
50 Cents hajafilisika bali kwa kupitia Mwanasheria he filed for bankruptcy ili kukwepa kulipa faini ya $7m iliyotokana na ku-,post sex tape ya mzazi mwenza na Rick Ross!
Kama mfuatiliaji, three months ago akiwa mahakamani alibanwa na mahakama aeleze how come mtu aliyefilisika ana-post mlima wa US $ bills Instagram... ktk kujitetea akadai ni fake dollar bills!
Ninamiliki salonWewe umewekeza wapi, if you Dont mind? Kila kitu kina mwisho by the way.....
Muhimu zaidi kwangu ni kwamba, we work hard kutafuta pesa... in the beginning, uweze kukidhi mahitaji yote muhimu... unaenda mbele zaidi investment n.k lakini unapokuwa umeshajitosheleza kwa mambo muhimu lazima pesa unayoitafuta kwa jasho ikuhudumie kwenye personal preferences lakini sio kwamba kila shilingi unayoingiza iende kwenye matumizi serious-- maisha yangekuwa very boring!Nimefuta hiyo paragraph ili nisiendeleze ubishi. Siwezi kupost kitu nisichokuwa na uhakika nacho. Lakini hata tukiendeleza ubishi tutapata faida gani?
Diamond amejitosheleza nini hadi afikie hatua ya kutumia mil 11 kununua mimeno ya bandia?Muhimu zaidi kwangu ni kwamba, we work hard kutafuta pesa... in the beginning, uweze kukidhi mahitaji yote muhimu... unaenda mbele zaidi investment n.k lakini unapokuwa umeshajitosheleza kwa mambo muhimu lazima pesa unayoitafuta kwa jasho ikuhudumie kwenye your personal preferences lakini sio kwamba kila shilingi unayoingiza iende kwenye serious expenditures vinginevyo maisha yangekuwa completely boring!
Weee nawe sijui ulikua unanyamba mifyuzi sasa nani kakwambia 50 Cents anaosha vyombo?khaaaa50 cent !!!!!?????
Ooosh!!!! hajafilisika wala haoshi vyombo umedanganywa!!!!
Kipato cha Diamond kinakuwa overstated most of the time. Na hii inatokana na tabia hatarishi tuliyojijengea kuwa ishara ya kuwa na pesa ni kumiliki magari. Ndiyo maana kunaKama unafahamu kitu kinachoitwa "BRANDING" usingeandika ulichoandika...
Na hata kama hiyo isingekuwa na umuhimu, kwa mtu aliyenunua nyumba 2 kwa ndani ya mwezi mmoja na nusu, kuwasaini wasanii wawili ambao kila watachokipata kwenye sanaa yao atakuwa anapata na yeye, shs mil 11 sio kitu...!!!
Kumbuka tu, ni kosa la jinai kumfananisha mr nice na Diamond wapo tofauti kabisa... Diamond hata akiacha mziki leo hii, bado ataendelea kuishi maisha murua kutokana na label yake (kila pato la mavoko, harmo, raymond, queen, n.k) litamuweka mjini, na pengine atakuwa aggressive zaidi kwakuwa sio msanii tena...
To prove me wrong, kwakuwa umepata muda wa kumfuatilia basi zitafute pages humu za miaka ya 2012 kuhusu kutumia pesa vibaya kuajiri dancers, kuhonga mademu, kuwa atafilisika afu wakamkimbia all that kwakuwa watu wanaona tu kinachotendeka bila kutambua "KWANINI?"
Baby unashushua vibayaaa looh!!??nakugawa bure [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa kwa nini ukamwingiza Mike Tyson?
Umekosa chanzo cha uzushi wako.
Kila mtu ana vigezo vyake vya kujitosheleza... hakuna formula! Diamond alikuwa na uwezo wa hayo meno bandia zaidi ya miaka 3 iliyopita lakini hakufanya hivyo na amefanya sasa... WHY? Kwake yeye miaka 3 iliyopita alikuwa hajamaliza mambo yake muhimu ambayo hata cku moja hayatakuja kuwa sawa na yako au ya kwangu!Diamond amejitosheleza nini hadi afikie hatua ya kutumia mil 11 kununua mimeno ya bandia?
Nasikitika hujui maana ya kujitoshelezaKila mtu ana vigezo vyake vya kujitosheleza... hakuna formula! Diamond alikuwa na uwezo wa hayo meno bandia zaidi ya miaka 3 iliyopita lakini hakufanya hivyo na amefanya sasa... WHY? Kwake yeye miaka 3 iliyopita alikuwa hajamaliza mambo yake muhimu ambayo hata cku moja hayatakuja kuwa sawa na yako au ya kwangu!
That's one but second tunavyosema kujitosheleza tayari mtu anaishi kwake, ana usafiri wa kwake na pia ana vyanzo vya uhakika vya kumuingizia pesa! Sasa ikiwa yote hayo unaona sio kujitosheleza naweza kukuuliza amebakiwa na nini! Hana nyumba ya ghorofa? What exactly asichonacho hata kimzuie kufurahisha nafsi yake? WCB leo imetoa madawati 600! Thamani ya madawati haya ni kubwa maradufu kuliko thamani ya hayo meno! Sasa ikiwa ameweza kutumia mamilioni yote hayo kusaidia mchango wa madawati kwanini aache kutumia kiasi kingine kufurahisha nafsi yake?!
Swali langu lilikuwa rahisi sana... halafu lipo straight; hili hapa:Nasikitika hujui maana ya kujitosheleza
Nilitarajia ungejibu hilo swali lakini umeshindwa na bado unadai sijui nini maana ya kujitosheleza!!Sasa ikiwa yote hayo unaona sio kujitosheleza naweza kukuuliza amebakiwa na nini!!
Kuna swali gani hapo sasa? Wewe umeonesha kuwa una ueleweka wako juu ya kujitosheleza. Ndiyo maana ukauliza hajajitosheleza nini, which means una uhakika kuwa kajitosheleza. Sasa hapo nitakujibu nini zaidi ya kuanza kubishana. Na mimi si mshabiki wa kubishana kwasababu ni mfuasi wanasaikolojia kama Dale Carnegie aliyesema "the best way to win an argument is to avoid it"Swali langu lilikuwa rahisi sana... halafu lipo straight; hili hapa:
Nilitarajia ungejibu hilo swali lakini umeshindwa na bado unadai sijui nini maana ya kujitosheleza!!
Litendee haki jukwaa kwa kueleza ni nini hasa maana ya kujitosheleza contrary na mtu kuweza kutumia zaidi ya 30 millions kuchangia madawati lakini awe stupid kutumia 11 million kwa ajili yake mwenyewe!
Issue siyo kuwa na mpunga. Issue ni kufanya mpunga uendelee kuongezeka hata bila kufanya kazi. Muziki una mwisho.