Meno ya Diamond Platnums ni shs milioni 11

"Haukuwepo wakati anazisaka so usimpangie ku_spend"
 
Issue siyo kuwa na mpunga. Issue ni kufanya mpunga uendelee kuongezeka hata bila kufanya kazi. Muziki una mwisho.
Je mpunga ukiwa mwingi utaufanyia nini?sema huwa pesa labda za baba yako lowassa.

Swissme.
 
Eeh ingekua ni ivyo mbona ingekua shida. Yan pesa naitafuta kwa jasho langu. Nishindwe kufurahisha nafsi kisa kufilisika??? Km ipo ipo 2 kwanza kufa kwaja better kuponda mali.
 
Kwani kuwa na hela nyingi bila kuzitumia ni ujanja au upumbavu?!

Hivi nyie wabahili mnatafutaga hela za nini....?

Hili bandiko limekosa hoja za maana.... Kwanza huna uhakika kama Diamond hana vitegauchumi alafu hujatuambia kama Diamond katika faida zake hatakiwi kuweka hela kwa ajili ya luxury needs zake....

The guy is superstar msitake aishi kama yupo huko Upareni milimani
 
Mkuu hizo ndio story za wabongo kwenye vijiwe vya kahawa hahahahahah....
 
Huna vyanzo vyovyote vya habari wewe zaidi ya kuviziavizia JF. Nakushauri jenga tabia ya kujisomea news websites mbalimbali. Itakusaidia sana maishani mwako wewe na kizazi chako.
nini kusoma website wakati hao ni washkaji nawasiliana nao kila muda
 
Dhahabu ni asset acha ujinga akienda kwa sonara inapimwa anavuta mpunga ingawa pesa inapunguwa kwa percent fulani ila inakutowa wakati wa shida.
 
L
Huna vyanzo vyovyote vya habari wewe zaidi ya kuviziavizia JF. Nakushauri jenga tabia ya kujisomea news websites mbalimbali. Itakusaidia sana maishani mwako wewe na kizazi chako.
Hebu tupe link na sisi tukasome bibie
 
Issue siyo kuwa na mpunga. Issue ni kufanya mpunga uendelee kuongezeka hata bila kufanya kazi. Muziki una mwisho.
Jamani pesa katafuta yeye tena kwa akili yake.Basi tumuache pia awe huru kutumia vyovyote atakavyo.Akifilisika pia cha moto atakipata pekeyake kama ambavyo yanamkuta mr nice.Ushauri wangu kwako mtoa post ni kuangalia na kupiga kimya.
 
Kutumia ovyo hela ni kupi mkuu na unajuaje kuwa hajawekeza,acheni kum underate mtu,unajua Diamond anaingiza kiasi gani kwa siku?Mil 11 kwake ni hela ndogo sana,ukizungumzia utajiri wa Diamond usisahau kuwa nyuma yake kuna Zari na wale ni mke na mume.
 
So is this your mea culpa for goofing up about Mike Tyson?

Word to the wise...next time make sure you consult your source(s) before you make declarative statements lest you end up with a rotten egg on your face like you just did.

Deuces.
Kheeee heeee heeee. ...Eeh!
 
Huyu Jane Lowassa anam-underestimate Diamond bila kufahamu kwamba the guy is very smart na ndio maana tangu aanze kutabiriwa ataanguka angekuwa keshapotea hivi sasa lakini ndo kwanza graph yake inaendelea kupanda!
Ana wivu sana na chuki binafs.jamaa mwenyewe hamjui wala nini. Kazi kuponda na ukimfatilia huyo Jane Lowassa hata kazi hana kutwa kuponda kila post ya msanii hanaga jela.SIMPENDIII na Ningekua admn ningeshampiga ban fala huyu
 
Hata yawe na thamani ya billions atajijua mwenyewe.
 
Una nguvu ya kubishana na huyu kila za maybe ni mmoja wa wale waliotimuliwa UD sasa ataka zimaliza stress humu shwaini huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…