Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je mpunga ukiwa mwingi utaufanyia nini?sema huwa pesa labda za baba yako lowassa.Issue siyo kuwa na mpunga. Issue ni kufanya mpunga uendelee kuongezeka hata bila kufanya kazi. Muziki una mwisho.
Mkuu hizo ndio story za wabongo kwenye vijiwe vya kahawa hahahahahah....Hiyo ya Mike Tyson kuosha vyombo kwenye migahawa ili kupata hela ya kulipia umeme ninahitaji chanzo makini na cha kuaminika ili niweze kuikubali.
Kwa sababu haingii akilini mtu ambaye ana cartoons zake na maonyesho yake Broadway, achilia mbali merchandise na paid appearances kibao afikie hali hiyo.
Nakataa.
nini kusoma website wakati hao ni washkaji nawasiliana nao kila mudaHuna vyanzo vyovyote vya habari wewe zaidi ya kuviziavizia JF. Nakushauri jenga tabia ya kujisomea news websites mbalimbali. Itakusaidia sana maishani mwako wewe na kizazi chako.
Hebu tupe link na sisi tukasome bibieHuna vyanzo vyovyote vya habari wewe zaidi ya kuviziavizia JF. Nakushauri jenga tabia ya kujisomea news websites mbalimbali. Itakusaidia sana maishani mwako wewe na kizazi chako.
Inawezekana hicho chanzo cha habari nacho ni magumashi. Blogs za kiudaku udaku nazo ni sheeeeedahKwanza napinga.
Lakini wewe kama hujazusha na una chanzo cha hiyo habari basi kiweke hapa.
Jamani pesa katafuta yeye tena kwa akili yake.Basi tumuache pia awe huru kutumia vyovyote atakavyo.Akifilisika pia cha moto atakipata pekeyake kama ambavyo yanamkuta mr nice.Ushauri wangu kwako mtoa post ni kuangalia na kupiga kimya.Issue siyo kuwa na mpunga. Issue ni kufanya mpunga uendelee kuongezeka hata bila kufanya kazi. Muziki una mwisho.
Kutumia ovyo hela ni kupi mkuu na unajuaje kuwa hajawekeza,acheni kum underate mtu,unajua Diamond anaingiza kiasi gani kwa siku?Mil 11 kwake ni hela ndogo sana,ukizungumzia utajiri wa Diamond usisahau kuwa nyuma yake kuna Zari na wale ni mke na mume.Msanii Diamond leo amefunguka kupitia kipindi cha XXL kuwa thamani ya meno yake ya bandia ya dhahabu ambayo amekuwa akionekana nayo siku za karibuni ni shs milioni 11.
My perception: Hivi wasanii wa kibongo mtajifunza lini kuwa na financial discipline? Yaani umetafuta hela kwa kujinyima ukianzia maisha magumu halafu leo mambo yamekunyookea unaanza kutumiatumia ovyovyo kama mtu usiyejielewa?
Mr Nice aliwahi kuwa na hela nzuri sana miaka ya mwanzoni ya 2000, lakini kutokana na matumizi mabaya na kushindwa kuwekeza leo hii nasikia hana chochote cha maana.
Diamond ajue tu kuwa historia ina tabia ya kujirudia. Lakini ana nafasi ya kubadilika akiamua kufanya hivyo.
unaijua bilioni 2 wewe?? Au unaropoka tuDiamond Kwa account hakosi Billion 2 so ukitoa hivyo tumilion 11 bado sanaaa
Kheeee heeee heeee. ...Eeh!So is this your mea culpa for goofing up about Mike Tyson?
Word to the wise...next time make sure you consult your source(s) before you make declarative statements lest you end up with a rotten egg on your face like you just did.
Deuces.
Kheeee heeee heeee. ...Eeh!
Wasiwasi wangu ni kwa huyo binti Lowassa ka amekufahamu!Umeelewa lakini kilichoandikwa?
Ana wivu sana na chuki binafs.jamaa mwenyewe hamjui wala nini. Kazi kuponda na ukimfatilia huyo Jane Lowassa hata kazi hana kutwa kuponda kila post ya msanii hanaga jela.SIMPENDIII na Ningekua admn ningeshampiga ban fala huyuHuyu Jane Lowassa anam-underestimate Diamond bila kufahamu kwamba the guy is very smart na ndio maana tangu aanze kutabiriwa ataanguka angekuwa keshapotea hivi sasa lakini ndo kwanza graph yake inaendelea kupanda!
Una nguvu ya kubishana na huyu kila za maybe ni mmoja wa wale waliotimuliwa UD sasa ataka zimaliza stress humu shwaini huyoUnapotaka kutoa ushauri lazima umjue unayempa ushauri wako na ushauri wako ni lazima uwe wa Kisayansi na si wa kimajungu na ndio maana nikakuuliza narudia tena "Pole sana kwa Mr. Nice, Je mama unajua Diamond anainvestments ngapi?na hizo investments zake zina thamani gani?Ukishajua thamani ya investment na hela zake then toa mil 11 you will be in a position ya kudge mama, ili hoja yako iwe na mizania nzuri ungefanya cost benefit analysis then ungeonekana umetoa hoja nzuri, hiyo mil 11 inaweza ikawa kama elfu kumi kwako mama"unazijua investment zote za Diamond?Je hiyo 11m ina effect gani kwenye investments zake? Otherwise mama huo ni umbea tu wa saloon na wewe jitahidi uongeze Saloon nyingi tu