Men's Fashion: DOs and DONTs


Hivi vitu vipo. Kuna aina ya watu wakijihusisha na bidhaa au kitu flani, kinashuka thamani na hadhi. Kuna kipindi Jay-Z (as iconic as he is) alikuwa anaipa promo sana Cistal, MD wao hakupenda bidhaa yao kuhusishwa na Hip-hop na akasema. Jay akaacha.
 
Yote tisa, kumi hakikisha mdomo haunuki. Aisee katika kitu ambacho nakuchukia maishani ni kusikia mdomo wa mtu ukinuka. Hiki ndicho kipimo cha ustaarabu na utanashati.
mkuu Nzi uko sahihi 100%. asee kunuka mdomo si kwa mwanaume wala mwanamke nachukia sana. sasa mbaya zaidi unakuta mdada swaafi ila anatema mdomo!!
 
Huwa anakuwaje mkuu??
 
Wanawake huwa tunanunua vitu na kuvaa ili kuringishiana wenyewe (wanaume wengi hawajui vitu vya kike). What about you men?

Wengi wetu tunavaa nguo ambazo zinatufanya to feel confident in them, though wapo baadhi wanaovaa to attract the opposite sex.

Ila personally I don't like oversized suit. Mfano Ombeni Sifue, suti zake zinamfanya aonekane too old.





Hii hapa though bado koti ni kubwa kidogo but afadhali.



Na wale wanaocha tags kwenye sleeves

 
Oops picha zimenigomea eti. Ila nimekuelewa sana, na mimi sipendi mtu Anayevaa nguo oversized, unataka kunenepa nayo au vipi? Kuna watu unakuta hadi ule usmart design kama unafichwa na nguo kubwa. Mtu anavaa nguo inamfit hadi raha jamani. Anyway mwisho wa siku mtu anavaa anachojisikia
 
Anyway mwisho wa siku mtu anavaa anachojisikia

Kitu ambacho nime-note kwa wanawake wengi ni kuwa kama wanaenda kwenye mnuso watajitahidi wavae nguo ambayo haitavaliwa na mwanamke mwingine kwenye mnuso.

Akikuta mwanamke mwingine amevaa nguo kama yake au inayofananania na nguo yake anakuwa siyo mwenye furaha tena.

Lakini sie wanaume kama nimepiga jezi yangu ya Simba na nikamkuta jamaa nae katinga ya Simba ndiyo kwanza tunakuwa buddies.

Women want to be unique, though wakati mwingine ikija fashion fulani wengi wao wanaifuata kiasi kwamba ukikatiza town unajiuliza hivi hawa wanawake hawana staili nyingine ya kuvaa?

I looove women who have a unique style that reflects their individuality.

Dah! JF imebadilika sana. Haven't been here for a while.
 
Hahaha you know us well, uanamke ni kazi eti. Kweli ntajitahidi nitoke kivyangu vyangu, kufanana sitaki.

I remember graduation ya dini ya form six tulivaa nguo light blue. My friends (walikuwa wa madhehebu mengine) wakaniambia nisivae kiatu cheusi as ntakuwa sawa na wengine, nitafute heel ya grey ili niwe unique eti. Then siku tumeenda shopping, kuna a certain girl akawa ameona suti nzuri duka fulani hivi, unfortunately akawa ameishiwa hela so akaomba awekewe ile suti akaongezee hela... kurudi akakuta wasichana wengine nao wamenunua suti kama ile yake. Alighairi kununua kabisa akaenda shona kitambaa. So wanawake tuna kama vicomplications fulani lol.

Yeah jf inabadilika daily, welcome back
 
Reactions: EMT
So wanawake tuna kama vicomplications fulani lol.

Ni kweli.

Huu uzi umenikumbusha mbali sana. Tulijadili baadhi ya mambo yanayojadiliwa humu: Wanawake wanavutiwa na 'details' gani za suti za wanaume?

 
Kweli umepotea nilitaka nikuulize umepotelea jukwaa gani maanake kule kwa Chelsea sijakuona loooong time.
 
Duuh I was watching AMVCA, wakaka na visuti vyao looh, sio kwa kupendeza kule. Afu well fitted suits na body structure ya mtu inaonekana yani hadi nimeshindwa nimchague nani., hakuna mambo ya metre 6 lol
Suti nazo zina miili yake mama, mwingine ukimkuta na msuti wake unatamani umtie kwenzi.
 
Thats true, kuna mtu hata afanyaje hapendezi, bado ataonekana kituko tu.
 
Hivi ni kutokujijulia au?? Serious unaweza ukawa unakikubali kitu hatari ila mtu akakufanya ukakichukia kwa kuona tu mtu kakivaa na alivyochukiza.
Mie nahisi sio kila fashion ni ya kila mtu, ukijijulia ni poa sana.
 
Suti nazo zina miili yake mama, mwingine ukimkuta na msuti wake unatamani umtie kwenzi.
Hahaha ndo maana unaambiwa Usichague mchumba kwenye sherehe. Kila mkaka was "mwaaaaaah". Afu wengi wana vile vimiili vyangu navyovipenda Koh Koh

Bana kuna mtu akivaa suti unajikuta tu umenuna kama inakuhusu vile
 
Hahaha ndo maana unaambiwa Usichague mchumba kwenye sherehe. Kila mkaka was "mwaaaaaah". Afu wengi wana vile vimiili vyangu navyovipenda Koh Koh

Bana kuna mtu akivaa suti unajikuta tu umenuna kama inakuhusu vile
Mwanaume mwingine unamkuta anamitako na mapaja makubwa ila naye anataka avae hizi suruali zao za kubana, uwiiiii unabaki kuona aibu wewe unayemtazama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…