Men's Fashion: DOs and DONTs

Hahahaaaa!! Raha ya manundu umtoe mwingine, nitakushikia pochi mnyaki wangu uonyeshe kazi.[emoji12]
Hahah me nambana na haya matege, wewe unampiga na uchogo gwako khaaa mbona harudii teh
 
Mwanaume mwingine unamkuta anamitako na mapaja makubwa ila naye anataka avae hizi suruali zao za kubana, uwiiiii unabaki kuona aibu wewe unayemtazama.
We mtot hebu kuwa na staha kidogo, kuna baba zako humu!
 
Leo ndo nimekuelewa kimtindo kachaa.. Kula gwara jemedari
 
Hiyo yote ni mitindo iliyowahi au inayopendelewa na watu flani. Binafsi nabuni staili yangu mwenyewe, wengine wanasema sipendezi, but i love my stlye
Kimtindo nimekuelewa.. Ila usiwe mbishi sanaaaa
 
Mwanaume mwingine unamkuta anamitako na mapaja makubwa ila naye anataka avae hizi suruali zao za kubana, uwiiiii unabaki kuona aibu wewe unayemtazama.


Gosh!, nimeshindwa kupita kimya jinsi ambavyo hauna mfano! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

atoto utafanya wakaka wa watu wajishuku kila wanapovaa πŸ™‚
 
Gosh!, nimeshindwa kupita kimya jinsi ambavyo hauna mfano! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

atoto utafanya wakaka wa watu wajishuku kila wanapovaa πŸ™‚
Ndio wajishuku ili wavae kuendana na miili yao.[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Reactions: kui
Sasa bwana paulo wasipokipraktizi watakijua lini? Acha wajifunze ukisikia kakosea mrekebishe ili akiweze, jakuna aliyezaliwa na lugha, wote tulijifunza, na tunajifunza kwa kuongea, hata hiki kiswahili tu bado ni mtihani.
Mdogo mdogo hata roma haikujengwa kwa siku moja, na ndio maana umeleta uzi huu ili turekebishane, haukusema tuache kuvaa.
 

Kujifunza ni poa sana. Na anayejifunza unamjua tu. Ila kuna wale kina Mchomvu (sina uhakika kama bado anafanya hivyo siku hizi). Salama pia huwa analazimisha lafudhi fulani hivi mara kadhaa akijaribu kuongea hiyo lugha. Rapa wa Salasala nae huwa anazingua balaa.
 
Kujifunza ni poa sana. Na anayejifunza unamjua tu. Halafu kuna wale kina Mchomvu (sina uhakika kama bado anafanya hivyo siku hizi). Salama pia huwa analazimisha lafudhi fulani hivi mara kadhaa akijaribu kuongea hiyo lugha.
Hahaaaaa umenikumbusha bwana nasibu, huwa naishia tu kuona aibu mimi.
 
Tukiongea kwa lafudhi zetu za kisukuma tabu....tukiiga za kimarekani tabu.......kazi ipo
 
Tukiongea kwa lafudhi zetu za kisukuma tabu....tukiiga za kimarekani tabu.......kazi ipo
Najaribu kuemagine msukuma akitaka kuweka kaslang, uwiiii!!
 
Reactions: kui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…