Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Yes sir20k 😱😱😱
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes sir20k 😱😱😱
Mtu ana simu ya line 3......inaitwa landrover.......hivi utakuwa unamaanisha nini........?.........
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhh.....!!!!!!!
Yaani mpwa wewe acha tu.....nimepatwa na ganzi ya ghafla....yaani hapo napata michina ya kumwaga na chenji nyingi tu inabaki....Hahahahaha nimechekaje ulivyokuwa unatamani kununua kama 3 hivi hahahahah mpwa kupendeza gharama.......hesabu ya haraka haraka mchina ngapi hapo
Yaani mpwa wewe acha tu.....nimepatwa na ganzi ya ghafla....yaani hapo napata michina ya kumwaga na chenji nyingi tu inabaki....Hahahahaha nimechekaje ulivyokuwa unatamani kununua kama 3 hivi hahahahah mpwa kupendeza gharama.......hesabu ya haraka haraka mchina ngapi hapo
Ni kweli mkuuKupendeza nadhani ni kipaji pia mtu anazaliwa nacho kuna watu wanavaa nguo za gharama mno na Brand kubwa kubwa ila akipita haonekani kupendeza kabisa...Ila mwingine umepiga mtumba wa kuchaguachagua Kikombaa ukipita kila mtu anataka umuuzie hizo nguo zako jinsi ulivyotokelezea...
Hii maneno naiona sana kwa nguli wa muziki Koffi Olomide.Kupendeza nadhani ni kipaji pia mtu anazaliwa nacho kuna watu wanavaa nguo za gharama mno na Brand kubwa kubwa ila akipita haonekani kupendeza kabisa...Ila mwingine umepiga mtumba wa kuchaguachagua Kikombaa ukipita kila mtu anataka umuuzie hizo nguo zako jinsi ulivyotokelezea...
Mimi mwenyewe napiga vitu vya hela ndefu lakini sijawahi kuambiwa nimependeza!!!Hii maneno naiona sana kwa nguli wa muziki Koffi Olomide.
Kiukweli pamoja na kuvunja pigo za bei mbaya, sijawahi kuona akipendeza aiseeee...
Umenena na hata hapa bongo kuna mwanamziki mmoja wa kike mwenye pesa tu na sometimes anafanya shopping za ghali mno ila sikuwahi muona amependeza kabisa...So ni kipaji kupendeza sio gharama ya mavazi..Hii maneno naiona sana kwa nguli wa muziki Koffi Olomide.
Kiukweli pamoja na kuvunja pigo za bei mbaya, sijawahi kuona akipendeza aiseeee...
Mkuu huwa najijua mwenyewe kuwa hakika nimependeza kabla ya kutoka hme na siku haitaisha kabla sijaambia umetokelzea mbaya na wadada huwa hawafichi sometimes mwanaume yeye atakuja kukuuliza aisee nimependa hiyo shati ako ni wapi unanunuliaga...Ila kina dada ye atakuambia Manuu umependeza mno...Na kama siku nimetupia tupia tu huwa najua kabisa kabla ya kutoka hme..Mimi mwenyewe napiga vitu vya hela ndefu lakini sijawahi kuambiwa nimependeza!!!
Sijua wananionea wivu sielewi.
Nunua mweuc umechi kotekote[emoji13] [emoji13]Duh, wazee wa kumiliki mkanda mmoja noma.
Yaani mpwa wewe acha tu.....nimepatwa na ganzi ya ghafla....yaani hapo napata michina ya kumwaga na chenji nyingi tu inabaki....
Kupendeza nadhani ni kipaji pia mtu anazaliwa nacho kuna watu wanavaa nguo za gharama mno na Brand kubwa kubwa ila akipita haonekani kupendeza kabisa...Ila mwingine umepiga mtumba wa kuchaguachagua Kikombaa ukipita kila mtu anataka umuuzie hizo nguo zako jinsi ulivyotokelezea...
Ushauri wako nimeupokea kwa mikono miwili....mpwa ngoja nianze kujipangaMpwa nenda na wakati angalau moja.....sasa huyo mchina ukikatiza mtaa wote mmefanana ......nunua ya kuringishia
Don't...ever, ever front your accent bro. Ever. You got a heavy chaga accent, embrace it. Don't try and talk like a City boy you are not.
Don't...ever talk what you hear in rap, if you don't fit the language. The 'N', 'F' words aren't cool for everybody.
Unanikumbusha kuna kipindi BURBERRY ilikuwa maarufu sana kwa class fulani ya Waingereza basi umaarufu wake ukafanya kila mtu avae hadi wale ma hoolligans wapenda na wafanya fujo mpirani, basi wale 'wenye label yao' wakasusia kuvaa, kampuni ili-shake karibia ife imeibuka tena juzi juzi na bado ina hali mbaya100%. Kuna watu wanatupia dope stuff, ila wanafanya vionekane regular. And vice versa.
Kuna watu nikiwaona wamevaa kitu, hata kama nakikubali vipi ndio nakipotezea hapo hapo.
Kuna watu hawawezi kupendeza hata wafanyaje. Karapina, Roma, Fid Q, Mwana FA, Busta Rhymes, Akon(?), Flava flav, etc.
Hii inawahusu sana mnaoongea Kiingereza.