Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Nina njaa jirani af ramani siisomiUpo kimya jirani, kuna tatizo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina njaa jirani af ramani siisomiUpo kimya jirani, kuna tatizo...
Pole jirani, karibu tule lunch...Nina njaa jirani af ramani siisomi
Umepoa kama maji kwa mtungi.Haya Bana.
Asante jirani.Pole jirani, karibu tule lunch...
Aaah dada yangu mkurugenzi 😊😊😊
Nipe direction pm jirani...Asante jirani.
Ila hiyo karibu ya mdomo tu au ya ukweli ukweli nimuite boda boda wangu anilete hapo chap nije kula.
Me ndio nina shida jirani, we nielekeze ulipo nitakufataNipe direction pm jirani...
Nikikuelekezea hapa, sii watakuja ambao hata siyo wahusika... fungua pm...Me ndio nina shida jirani, we nielekeze ulipo nitakufata
Me nimevaa gauni jekundu linawaka waka na viatu vyekundu navyo vinawaka waka.Nikikuelekezea hapa, sii watakuja ambao hata siyo wahusika... fungua pm...
Binadamu hawashindwi, siyo mwenyewe mwenye vitu vyekundu vya kuwakawaka...Me nimevaa gauni jekundu linawaka waka na viatu vyekundu navyo vinawaka waka.
Akija ambae hajavaa hivyo jua ni feki, so nielekeze tu.
Ndio mimi huyo napoza kiu kidogo, kumbe umeninotice haya unyooshe mkono juu nikuone uko kwa wapi nijeBinadamu hawashindwi, siyo mwenyewe mwenye vitu vyekundu vya kuwakawaka...
Au ndiyo wewe yule pale umesimamisha ice cream za Azam pale...
Mambo mrembo....aisee mwamke wee kweli unajua mutumia uhuru wako...ysani unapata htamu kwangu na kwa national anthem.
Ngoja nikufuate nikunase kibao cha nguvu, nakunyanganya simu alafu najifungulia pm yako...Ndio mimi huyo napoza kiu kidogo, kumbe umeninotice haya unyooshe mkono juu nikuone uko kwa wapi nije
Sasa huo si utakua uvunjifu wa haki za binadamu.Ngoja nikufuate nikunase kibao cha nguvu, nakunyanganya simu alafu najifungulia pm yako...
Atakae nifuata ninyo back up...
Mie nimekumiss buana maswala ya kulala njaa yametoka wap kaka mkubwaAaah dada yangu mkurugenzi 😊😊😊
Leo weekend najua silali njaaa
National Anthem kaka yangu banaMambo mrembo....aisee mwamke wee kweli unajua mutumia uhuru wako...ysani unapata htamu kwangu na kwa national anthem.
Dawati la jinsia wote ni washkaji zangu... sijui utaenda wapi jirani...Sasa huo si utakua uvunjifu wa haki za binadamu.
Utaenda pm na me naenda dawati la jinsia tuone nani ni nani
😅😅😅.. dada leo weekend au unatoka out na mzabzabNational Anthem kaka yangu bana
Afu mimi na wew ndio mtu na my wake
Yaani ushapelekwa huko sana hadi umeunda na urafiki nao, jirani i can't you.Dawati la jinsia wote ni washkaji zangu... sijui utaenda wapi jirani...