Mention someone without any reason just to disturb them

Mie nimekumiss buana maswala ya kulala njaa yametoka wap kaka mkubwa
πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡ Dada yangu nipo nimejaaa najiandaa kwenda kanisani, alafu nikitoka kanisani kijiweni na wana tukale kahawa tuu.. Ukaribie tuu
 
Yaani ushapelekwa huko sana hadi umeunda na urafiki nao, jirani i can't you.
Hapana, jirani, kwa nini tuwaogope wakati wapo kwa ajili ya kutulinda sisi, siku moja moja unawapitia unawapa lunch wote wanakuzoea kwa uzuri...
 
Hapana, jirani, kwa nini tuwaogope wakati wapo kwa ajili ya kutulinda sisi, siku moja moja unawapitia unawapa lunch wote wanakuzoea kwa uzuri...
Na mimi uwe unaniletea lunch nikuzoee kwa uzuri nikufungulie pm jirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…