[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana chezea kitu haina mfupa, ila inasimama dedeee, tena ngingingi.Hatareee [emoji23][emoji23] ( Kwa sauti ya Chidy Benzy)
Yaan alivyo chachuka na kushanduka, nehiiii hapana kwa kweliii.
Kikundi nchonchobo kisha muharibu baba wa watu. Had hurumaa yaan.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], afu hafananiii sasa.
Muambie wee alokuuliza, akitaka kukujua akupe vocha kwan.
Wee usiniambiee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana chezea kitu haina mfupa, ila inasimama dedeee, tena ngingingi.
Woiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani mie nimesema nn? Usinilishe maneno.Kochoz crew ndo wamemuharibu? [emoji23]
Unamsingizia sio kweli
Mnooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Balaa [emoji23]
Hapanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani mie nimesema nn? Usinilishe maneno.
But JF ni zaidi ya uijuavyo au uiaminivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] harusii ipoo.Bas sawa tuendelee na vikao vya harusi [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] harusii ipoo.
Nitaenda km bi mkubwa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa sisi tutaenda km ndugu wa kiumeni au kiumeni 2 [emoji23]
Hapo sijaelewa dada Farida
Nitaenda km bi mkubwa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Km Ex sitakiii, nataka status ya bi mkubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halali bila ndoa? Ila uchungu jamani!![emoji23][emoji119]
Jamani hii imeenda
Bi mkubwa km bi mkubwa
Unaingia na benbat la nani?
Km nawaona machura wanavyokufagilia njia mama la mama!!
Mama mwenye mume wake halali! [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halali bila ndoa? Ila uchungu jamani!!
Sa itakuajee??
Tatizo sio kuporwa, unaporwa na naniii?Inauma kumbe? Mi nilijua we sugu[emoji1787][emoji1787]
Mume anauma sana, alafu akuache ghafla kwa kuporwa [emoji1787]
Kunywa maji mengi!!
Ila ukewenza unao na umekufikia!
Hukuona dada ako alivyokua anapambana kuilinda status ya kuwa peke yake kwa mkantriweldi [emoji23]
Tatizo sio kuporwa, unaporwa na naniii?
Toleo jipyaa kweliiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasemajeee nime surrender. Nacheka km mwehu hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km chizii wallah.Toleo jipya ni shida [emoji23]
Ila imekuuma sana!!
Pole jikaze ndo maisha.
Ko jimbo liko wazi??
Njoo tupambane na mikopo ya kausha damu, mapenzi waachie kina Zamaradi na Shabani Madobe!! [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km chizii wallah.
lalaMapenzi yana wenyewe,
Sie wengine tuache shobo,
Tutazikwa wazima wazima,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]