Mention someone without any reason just to disturb them

Mapenzi yana wenyewe,
Sie wengine tuache shobo,
Tutazikwa wazima wazima,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena tutazikwa tumesimama wima.
Tutulizaneee. Woiiiiih
 
nimeona illegal trade kwahiyo mtakua mnauza madawa sio
Huko kila kitu hata ukitaka muuaji, kifaru, madawa , mchumba.. porn zisizo za ulimwengu huu.. watu wakichnjwa live.. ila pia hacker wa kukodi.. kuna mazuri na mabaya ni wewe tu.. na utakuwa umepata connection ipi.. maana link za huko zipo kimichongo michongo
 
Na kuhackiwa ka simu au contact zako ni kugusa tuπŸ˜‚πŸ€£
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena tutazikwa tumesimama wima.
Tutulizaneee. Woiiiiih

Bora nienjoy, kirikii kikikii
Maisha mafupi ni simple kiriki kaaka kah
Ya nini niteseke roho,
Jiunge na Lamomy upoze koo.
Jiungee na mimi [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…