Mention someone without any reason just to disturb them

Bora nienjoy, kirikii kikikii
Maisha mafupi ni simple kiriki kaaka kah
Ya nini niteseke roho,
Jiunge na Lamomy upoze koo.
Jiungee na mimi [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] hii vibe kama nimeielewa hivi. Karibu hapa naandaa mambo kwa kitchen
 
Bora nienjoy, kirikii kikikii
Maisha mafupi ni simple kiriki kaaka kah
Ya nini niteseke roho,
Jiunge na Lamomy upoze koo.
Jiungee na mimi [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitakiii nishauriweee.
 
Mchumba unampataje dark web?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitakiii nishauriweee.

[emoji23][emoji23][emoji23]
Km umemchoka tuachie sisi,
Tumle mpk mifupa ss ndo mafisi
Sawa nimeachika, ila naburudika
Sipangiwi na mbwa yeyote pesa inatumika
 
Na ukikosea unahackiwa sio?
Kuhakiwa inategemea ume configure vipi machine yako, na unaitumiaje.. mala nyingi mtu hufungua mlango wa kuhakiwa kama ana ma point mengi ya kuilia.. Na usiingie kule kwa computer yako official.. uwe na computer maalumu ya kuzamia huko.. ambayo haina issue yote ile hata likatokea la kutokea huna cha kupoteza
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Km umemchoka tuachie sisi,
Tumle mpk mifupa ss ndo mafisi
Sawa nimeachika, ila naburudika
Sipangiwi na mbwa yeyote pesa inatumika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nigawie mie pesa hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…