Wee sema kweli?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chezea Prado wewe!!
Na nishamuachia kina Aunt assu masahani adeveleke nao.Anakupenda sema kina Agrey mabakuli wanamzonga [emoji23]
Nikishapenda huwa nakua sina break, hii misosi hutaki?
Kiasiiiii π₯π₯π₯π₯.. Jua kali..... Mejja Nipo poaNgoja nika tafute Wi-Fi ya hoteliniππ
Thailand
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi huyo shemeji yako ana kitambiii? Mbna sina taarifa? Au niliyekuaga nae ni clone.Kachekee kwa shemeji huku unamkuna kitambi chake na kucha zako ndefu za kingoni [emoji23][emoji23]
Ndio nataka iwe official mke awe anakaa hapa hapa
Unamjua dada kyutiii weyeee? Kasambaratisha kikundi uchwaraa na babu yao migambutiiii.Huyu mume mtu ananinyapia balaa, had jikoni kaingia kupika kwaajiri yangu [emoji23]
Ananitafutia maneno na dada yako
Ndio nachotaka sababu nampenda sana
Wee sema kweli?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mejja wa Kenya una msikiliza??Kiasiiiii π₯π₯π₯π₯.. Jua kali..... Mejja Nipo poa
View attachment 2750451
View attachment 2750444
Na nishamuachia kina Aunt assu masahani adeveleke nao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kyuti fundi sana, sema mvivu anaweza kutumia siku nzima kupika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kakufundisha kyuti kupika?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi huyo shemeji yako ana kitambiii? Mbna sina taarifa? Au niliyekuaga nae ni clone.
Basi tuyajengeNaitaka kaka fanya kunitumia [emoji23]
Nampenda sana na songi zake π π π πMejja wa Kenya una msikiliza??
Unamjua dada kyutiii weyeee? Kasambaratisha kikundi uchwaraa na babu yao migambutiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna muda hadi naona wivuWee usinambie? [emoji23]
Wewe lazima uwepoWacha wee!!
Harusi tunayo kumbe?
Naomba niwe mwenyekiti wa kamati ya vinywaji [emoji23][emoji23][emoji23]