Mention someone without any reason just to disturb them

☹️Inabidi upewe Cha chap Ili akili irudi Kwa mstari🤨
😅😅😅 hapa nilipo haziruhusiwi picha kuna kila aina shape .. ningefota uone.. lama hata nashida na hicho cha chap chap.. kupeana mbo kama kuhesabu nambaaa.. zenye limiti.. kadri unavyo hesabu ndio unapo elekea mwisho.. nahisi na mie naelekea mwisho.. kustaafu
 
Hii ni hatua nzuri sana My Boss😊
 
Back
Top Bottom