Mention someone without any reason just to disturb them

Wale wa Selfika mnaohamishia mjadala huku nawaona πŸ™‚
🀣🀣🀣🀣 ila active una hekaheka aiseee!!!
Hebu nitolee ban kwanza, mbona mmenipa kimakosa. Kwani nimefanyaje selfika??
Mbona picha tunatupia au wenye picha zenye ukungu hatutakiwi 😜
Wengine uwezo wetu wa itel hatuna iphone
 
Mbona ghafla imekuwaje?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kaniambia Mimi mnafikinafiki simsaidii kwenye magumu yake anayopitia humu,Kwa hiyo hata akikuta nashambuliwa hatokuwa na mpango na MimiπŸ˜…πŸ˜πŸ˜
 
Kaniambia Mimi mnafikinafiki simsaidii kwenye magumu yake anayopitia humu,Kwa hiyo hata akikuta nashambuliwa hatokuwa na mpango na MimiπŸ˜…πŸ˜πŸ˜
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo chacha utajua hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…