Land cruiser Prado
Senior Member
- Apr 24, 2021
- 118
- 265
financial services.. We lafu yuh .!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lafu yuh more Prado Cruiser😀financial services.. We lafu yuh .!
Umentenga sana kipenzi changuNipo Poker vipi uko poa?? Pole na ban bana
Nipo poker sijakutenga banaUmentenga sana kipenzi changu
🤣🤣🤣🤣 ila active una hekaheka aiseee!!!Wale wa Selfika mnaohamishia mjadala huku nawaona 🙂
Ana unayaweza 😂😂😂😂Mkuu mod tunaomba wote wenye iPhone wapigwe ban
Wanafanya wenye Infinix tuishi kama tupo kuzimu bwana,jf yetu sote😁
😂😂😂😂 na mimi mnyonge jamani mbona wamenifanyia hivyo??Wanyonge tumefurahi
Mbona ghafla imekuwaje?? 😂😂😂😂Haya tumeshapingua ushosti,byeee
Kaniambia Mimi mnafikinafiki simsaidii kwenye magumu yake anayopitia humu,Kwa hiyo hata akikuta nashambuliwa hatokuwa na mpango na Mimi😅😍😍Mbona ghafla imekuwaje?? 😂😂😂😂
Wewe wa iphone una unyonge gani Nkamu?😂😂😂😂 na mimi mnyonge jamani mbona wamenifanyia hivyo??
Kaka yetu Active atakuwa amekusahauAna unayaweza 😂😂😂😂
😂😂😂😂 hapo chacha utajua hujuiKaniambia Mimi mnafikinafiki simsaidii kwenye magumu yake anayopitia humu,Kwa hiyo hata akikuta nashambuliwa hatokuwa na mpango na Mimi😅😍😍
😂😂😂😂 Nkamu mi mpk sasa sijui kosa langu ujueKaka yetu Active atakuwa amekusahau
😂😂😂 Akhu! Mi nna itel picha zina ukungu tupu labda ndiomana naonekana jauWewe wa iphone una unyonge gani Nkamu?
Active niaje bro😂😂😂😂 Nkamu mi mpk sasa sijui kosa langu ujue