Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Njoo nikufanyishe mazoezi ya kupunguza tumbo πππ niwe treinaa wakooChips nimepumzikA kitambi kimekua kikubwa sana kinafunika hadi mapaja
NakujaNjoo nikufanyishe mazoezi ya kupunguza tumbo πππ niwe treinaa wakoo
Karibu sana Leo tutaanza na zoezi la kunywa maji mengi ππNakuja
Marahaba, hujambo boss?Hello ππ€© mrembo Hope urassa
Sema vin uko pouwa??
Hapana mimi ni muoga mkuu sometimes huwa nawaogopa hadi watu ninaowazidi umri, kiranga simkaribii hata kidogo yule jamaa yuko smart sana ana uwezo mkubwa wa kufikiri na kujadili hoja, mimi najiona niko kawaida tu ukiacha wanaume kuna wanawake wengi pia humu jf ambao binafsi nawaona wako vizuri sana upstairsWewe sio muoga hata kidogo tena upo smart sana kwa apa jf unaweza kuwa au kukaribiana na kiranga, kiufupi wewe ni kiranga wa kike.
Huyo Anayekuficha anatutafuta ubaya π€π€Miss you zaidi Kipenzi....
Yaani na nimepotea kweli hadi siyo poaπ