Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Mpaka apatikane wa kukuoa nicheze nyimbo ya Mario kabla haijachuja ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
ila wewe unavopinga ndoa sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hua naona comments zako
 
Nashindwaga kuelewa na kuzoea hili sijui ni baridi au ni upepo ila upepo wa Dodoma ni hatari unanyanyua Hadi mchanga unakuchapa nao ๐Ÿ˜ช
Polee sana Odo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ njoo huku kigamboni basi
 
Miss R mwenzako hali mbaya au mtafurahi nikibaki dodoma huku
๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ
tz kubwa sana kijana,, kwan wewe ni mgogo ,,kama sio kwenu,,rudi kijijin kwenu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ over
 
Huyo alinivunjia simu juzi baada ya kukuta nachat na Sabrina niliyekutana nae sabasaba majuzi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜ kavunja Tambo la laki 4๐Ÿ˜ญ
Mchaga bahili JF nzima yule nguvu za kuvunja simu anatoa wapi? Ameanza lini kuwa na wivu?
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Wanaume wajinga sana wanahisi ndoa km ni kitu special sana.!!
Kwamba mwanamke anaiwaza ndoa muda wote, kumbe wenzao tunawaza vitu vingine kabisa.
aaaah haya mabadiliko yetu yanawachanganya sana ujue ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom